Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
CHADEMA tamu Jamani....!
76,426 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Great Job Boni Yai.. ✊

Mimi nafanya kazi ya saloon , najua sina cha kumpa Kiongoz wang @ExMayorUbungo kwa kazi kubwa aliyoifanya siku ya leo kla nataman nimkaribishe ofsini kwangu kwa wakati wowote atakapokuja Arusha nitamtengenezea ndevu zakd vema , kwan leo ameonesha ushujaa wa kusimamia wananch🦁

Hakika bro asante Kwa kulinda maslahi ya Uma. Umeifanya Kazi ya kinabii Mungu akulinde na akubariki Sana✌️🔥

whoa have you heard this yet?

😂😂😂😂

Nataka kujiunga chadema nipo mbeya mjini nianzie wap mkuu

HII NDO HALI ITAKAVYO KUWA 2030 WALIO KIMBIA WATAJOIN THE CHAIN MBAYA MBOVU, CHADEMA NAIONA MBALI SAAANA....

Hongera Sana Nimekusikiliza mwanzo Mwisho Mungu Akubariki Wewe Ndiyo Ungeniumiza Sio Wakina Sijui Nkuna

Kwa mujibu wa Viongozi wako hizi zote zilikua siasa za udalali na kutumika na mfumo😁 Baada ya muda mrefu umeamua kujikana leo Big, Labda kama ni special mission, Wenzako wanakuangalia kitaalamu sana hapo, maisha gani hayo yakuviziana kamanda

🤣🤣🤣🤣❤️ ubarikiwe Sana mwamba

Aisee umewalipua na hawana jipya tena. Saivi watahama kimyakimya
Benzer Videolar
Muwe mnamsikiliza Rachal Dangwa jamani @rachal_dangwa
Mzalendo wa Taifa
12,774 görüntüleme • 2 ay önce
