Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Sikiliza hadi mwisho✅✅
42,007 görüntüleme • 1 ay önce •via X (Twitter)
6 Yorum

Jerusalem's1 ay önce
Huyu nyoka ni hatari sana mara nyingi hupenda kukaa kwenye mapori, vichaka na mifereji na hata pembezoni mwa mitoni hiyo harufu yake ni kweli ukifuata harufu yake ukikutana na nyoka huyo au zaidi ya 2 kwa macho Yako kimbia kwa nguvu zako zote speed yake ya kukamata vitu yuko fast

N A Z A R Y 11 ay önce
Je harufu ya viazi vilivo chemshwa

Kimwaga Son1 ay önce
Km na njaa je

Issa Taslima1 ay önce
kwahio kwakuwa tumekubaliana kuwa lugha ya kitaalamu au sayansi ni kingereza acheni upuuzi wa China wanatechnologia na hawajui lugha hio

Kisado1 ay önce
Sasa unakimbilia wap na haujui alipo hapo utulivu wako ndio utakuokoa we kimbia tu kisha umkanyage ianze vita

Ramaa1 ay önce
Porini tumeisikia sana wazee wapori
