正在加载视频...
视频加载失败
Sikiliza hii
10 条评论

Jamaa alijipa majukumu ya baba Dem anaamua kutafuta mwanaume wake sasa 😅

WAFALME tusiamini kupitiliza . Tuishi nao kwa akili

Qmmake> inetajwa Mara 40

Trader gan Yuko emotional Hivi Aisee .....kuwa good trader Lazima Uwe mentally strong, bila Hivyo hata trading carrier yako it will be ruined

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hyo aisaidii hyo iasaidii kaipgwa hela na demu analiwa na wengine , aliyemwambia awe loyal kwa demu ni Nani ?

😊🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka kama mazuriii ..... nimejifunza kitu huyu jamaa inaonekana alimpata demu kwa ushawishi wa pesa yani kwa mwezi anatuma laki 4 🥺🥺 demu yeyote ukimpata kwa ushawishi wa pesa jiandae siku yeyote kupigwa kipapai 😂😂

Daylight robbery

1. Kila wiki anatuma laki 2. Ada ya chuo nusu analipa 3. Kodi anamsaidia kumlipia Jamaa yupo hostel kwa mwanamke wake Kodi anayomsaidia kulipa ni wapi??? NB: Jamaa amebet vibaya angemsubiri mwanamke amalize chuo

Dunia siyo sehemu salama kwa wanaume dhaifu ✍️

Mchumba hapewi matunzo ya mke. Mchumba hapewi mapenzi ya baba. Kumsomesha ni kuchukua majukumu ya baba yake, kumpa demu pesa ya matumizi kama mke hiyo pia ni shida.
相关视频
Wewe kijana sikiliza hii video kisha chukua hatua. REPOST 200. TUTAKUWEPO🫵😎
SIR TIVA
15,276 次观看 • 1 年前
