正在加载视频...
视频加载失败
🔷🔷🔷🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Sikiliza Kwa makini
16,636 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Detroit2 年前
Huyu padri huwa anaupiga mwingi sana

KatiKomile2 年前
@GetVideoBotOld

DaudiT2 年前
Hiyo ndio maana halisi ya uchungaji, ni pamoja na kuwaelimisha waumini haki zao kikatiba

Ibrahim Kaswaka2 年前
Knowledge gape

wasionasauti2 年前
Watanganyika sikia na amka.

EZEKIEL NYAMIKA2 年前
Kweli baba paroko

Qadhurwah2 年前
Kama kuna points hakuna haja yakusikiliza Kwa makini zitasikika tu

Robert Karia2 年前
Very fact

gilbert saronga2 年前
Ubarikiwe mtumishi wa mungu ni kweli kabisa unafiki umezidi hapa nchini kujikomba kusifia sifia ndio kilichobaki

John Chuwa2 年前
Tukipata mapadre wachungaji mashehe kama hawa tanzania itabadilika kwa kiasi kikubwa sana.unajua hata kenya hapa walipo ni viongozi wa dini ndio walioibadilisha kenya
