Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Sikiliza kwa makini⬇️

38,188 views • 1 year ago •via X (Twitter)

10 Comments

Francis's profile picture
Francis1 year ago

Askofu wa Aglican Dayosisi ya Daresalaam Jackson Sostens. Ambacho watawala hawakielewi ni kwamba hawaogopwi. Wanaambiwa ukweli mbele halaiki. Watanyamazisha wangapi?🤔 Bangoza aliwaambia hata wakimmuua watazaliwa wengine. Ukweli ni kuwa hawahitaji kuzaliwa,tunao wengi tayari.

Lbato's profile picture
Lbato1 year ago

RC wa DSM,Chalamila anamwangalia Askofu kwa jicho kali.. anataka kupasuka... anajua yanayohubiriwa na huyo mwanafalsafa ni kweli.. atafanyaje wakati boss wake ni mumiani,na yeye anayo familia inamtegemea

Zumbe Atogolwe's profile picture
Zumbe Atogolwe1 year ago

Huu ndio wajibu wa Askofu mwenye roho wa Mungu.

JIBABA's profile picture
JIBABA1 year ago

Dah ila dini ya wenzetu ina viongozi bhn sio sisi kiukweli viongoz wetu wamekaa knafik san uchawa na kujpendekeza kwa viongoz ndo wanajau huwez kukuta akaongea hvi hata mbele ya mjumbe wa nyumba 10

Gasper Millanzi's profile picture
Gasper Millanzi1 year ago

Ccm imekua ikifanya kazi ya majambazi na wezi ikaa ha kazi yake ya msingi, mtumishi wa Mungu anawakumbusha hiyo si kazi Yao ni kazi ya Mungu alietoa na anaeweza kutwaa, nilihama ccm Kwa sababu ya Imani yangu hainiruhusu kushirikiana na hata kula nao nimekatazwa

ELIUD ELIAS's profile picture
ELIUD ELIAS1 year ago

Nimesikiliza ila nimeona kama uoga ndani yake ulitawala kwa kuzungmza maneno Yale yale muda nao haukuwa rafiki

𝐂𝐇𝐈𝐌𝐁𝐔𝐊𝐎's profile picture
𝐂𝐇𝐈𝐌𝐁𝐔𝐊𝐎1 year ago

Wale wajinga wajinga wa CCM watasema Padre ameingilia siasa aache Siasa. Jamaa makatili sana.

BABY🪽's profile picture
BABY🪽1 year ago

Namuona Chalamila na kichwa chake kama Nazi ya Mkuranga.

Olemakame's profile picture
Olemakame1 year ago

Na maneno haya yakawe laana kwa wale wote wenye mamlaka wanaotumia mamlaka hayo kuwapokonya wengine uhai.

Pancras Flahisha's profile picture
Pancras Flahisha1 year ago

Mkuu hivi unajua Tabia za Mbuzi, yaaaani ni kama unampigia gitaa haeleeeeewi.

Related Videos