正在加载视频...
视频加载失败
Sikiliza kwa Makini
14,337 次观看 • 14 天前 •via X (Twitter)
4 条评论

Mtoto_wa_Kariakoo 🇹🇿🇨🇩14 天前
Kwanini analaumu watanzania kwani ndio wao walio kamata hao profesa?

Tanzania Buzz14 天前
.

Mtu Huru14 天前
Wasomi mko wapi? Maana nchi hii haina wananchi, na ninyi mnaodai ni wasomi nanyi tuwaweke kwenye kundi letu la hatupo?

Jimmy Luhende13 天前
"Innovation haiwezi kuja kama watu wanaishi kwa hofu"...Prof @kitilam akimaliza muda wa kua waziri, atakuja kuisemea vizuri pia.
