正在加载视频...

视频加载失败

Sikiliza mpaka Mwisho. —Lucas E. Malembo

59,016 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

M.D (🅨) 的头像
M.D (🅨)3 年前

Aliemuondoa huyu Dada kule Tanga aliwakosea sana watu wa Tanga. Itoshe tu kusema hivyo

Ms Bee🌹 的头像
Ms Bee🌹3 年前

Tabora ni mkoa wa ajabu sana una mambo mengi sana ya kutisha niliwahi ishi hapo sikua na aman kabsaa

fredy@mitumba🇹🇿🇰🇪🇺🇬 的头像
fredy@mitumba🇹🇿🇰🇪🇺🇬3 年前

My sister Sophia Jongo RPC Geita,hana nayaa

Shikilie 的头像
Shikilie3 年前

Duh! Hizi mambo zipo Kanda ya Ziwa sana na huko Tabora na Katavi. Kuna kijiji Mwanza kinaitwa Nyambiti(sio ile ya Mjini pale) hili jina kwanza limetokana na mnyama huyo Fisi.Huko kuna matukio mengi kama haya ila huwa hayapati coverage matukio Ushirikiana.

Mwaura Robert 的头像
Mwaura Robert3 年前

Nimecheka sana,huyu polisi anajua anachokisema au,

Jumanne (KILIMO MAISHA YETU) 的头像
Jumanne (KILIMO MAISHA YETU)3 年前

Huwa najiuliza Kwa nn huwa hawawezi ingia BENK wakachukua pesa.. chakushangaa zaidi wote waetuhumiwa kwa uchawi huwa wote masikini

Kenan 的头像
Kenan3 年前

Fisi hapendi mijadala ya kumjadili😪

Faustine 的头像
Faustine3 年前

Hivi Kaliua ipo mkoa gani kwanza? Habari ya kusikitisha ila hapo mwisho sasa 😄

KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬 的头像
KoiTheDigital🇹🇿🇰🇪🇺🇬3 年前

Fisi wa mwanamarunde huyo

Habakuki Ntabudyo 的头像
Habakuki Ntabudyo3 年前

Anakwepa risasi au shabaha ndiyo ndogo?

相关视频

Sikiliza mpka mwisho 😀😀👇
3:06

Sensitive content

Sikiliza mpka mwisho 😀😀👇

chuga girl❣️

58,140 次观看 • 2 年前