正在加载视频...
视频加载失败
Simba Nguvu Moja 🦁
10 条评论

Daktari Wa Manesi 💉💊2 年前
Mudy achia Timu warudi kwenye kutembeza Bakuli

Mohammed Dewji MO2 年前
dah 🥲

Presenter Noah2 年前
Umeongea vizuri tajiri

Jalilu Zaid2 年前
Kigwangwala anakuzowea vibaya halafu. Sema japo neno kumhusu yeye. Ulipokuwa haupo aliongea mengi hadi akaingia Space.

Fumbo Khan2 年前
Naskia jana Hersi hajaja sjnce umetangaza kurudi simba

Nature🌲2 年前
Hakuna nguvu moja hapa tajiri wewe ni tapeli

V E N N A📸2 年前
Alafu kauli ya club unaitoa wewe kama nani kwani wewe si muwekezaji tu?

Bixen2 年前
Huyu anacheka Boss

KIRIKUU✏️2 年前
Wana simba hakuna kitu tunakudai hongera sana mkuu,tunakupa mitano tena.🔥

Malek2 年前
NGUVU MOJA MPAKA SIMBA ISHUKE DARAJA
