Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Sio Kenya tu, hata Dunia nzima 😎

61,316 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎vor 1 Jahr

Na iyo tume hawakuipata bila kumwaga damu. Bongo wanafikiri wataipatia kupitia X.

Profilbild von Rock Paper Sizzle
Rock Paper Sizzlevor 1 Jahr

🇺🇸 Put America First! 💯 We have the best chance with Trump & Vance. ✅ Wear it Proudly here:

Profilbild von Indigo
Indigovor 1 Jahr

Sasa mbn tunajifanisha na watu wa ajabu kwan siasa za kenya zina uzuri au afadhari gan?

Profilbild von Rwabudugu🇹🇿
Rwabudugu🇹🇿vor 1 Jahr

Juzi lutto kafanya nini? Kwani yeye sio mgombea? Halafu kingine nyie ni kenya na hapa ni Tanzania umatakaje tufanane? Kila mtu na chaguzi zake

Profilbild von GOODMAN
GOODMANvor 1 Jahr

Hakuna atakaye shindana na Mungu akashinda!! No matter what, God must fight for You My brother!!!!!!!

Profilbild von Absalut Charles
Absalut Charlesvor 1 Jahr

😂🤣🤣alafu bado watu wanahamasishwa kupiga kula eti

Profilbild von Mwanaharakati 🇹🇿
Mwanaharakati 🇹🇿vor 1 Jahr

🤣🤣🤣 @SuluhuSamia kila lenye mwanzo alikos kuwa na mwisho 😁😁,Punzika tu bibi lixmkz kwa aman km imushindwa kuelewa hii vedio

Profilbild von Shedrack Joshua
Shedrack Joshuavor 1 Jahr

Jibu mtalopewa sisi ni nchi huru tuna maamuzi ya kila kitu

Profilbild von Alone Rider
Alone Ridervor 1 Jahr

Sio mchezo.

Profilbild von Baraka Emilia
Baraka Emiliavor 1 Jahr

Na bado Kuna masela wanaenda kupiga kura Kwa mazingraaa hayahayaa

Profilbild von Senedy Samawa
Senedy Samawavor 1 Jahr

Aibu hizi

Ähnliche Videos