Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Sitawaambia Kila Kitu…….
76,864 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Kama DULLAH MAPARACHICHI haja comment hapa natoa elfu tano kwa kila atakae like hi comment

😁😁😁😁😁

Oyaa MKATO goma letu na kijana Mfupi aliyegundua ngazi, ni lini???? Huku ulishamaliza Muda sana

VIVA ROMA Ngoma Yangu Bora Kabisa Toka Kwako. Hii Ngoma Ulinyoosha Mzee

Tangu juzi huu mstari ulikua unanijia akilini halafu leo umeupost,kuna kitu tuna share🙏

Sawa uliimba. Ila kwa sasa tukaushie tumalizane na haya mapandikizi ya kina Alpha na Omega. After that ndio utaona pure opposition party. #LissuWillFixIt

Sahv tutoe mawe ya kuruka kiwanja tu, huku tushamaliza.

Mdundiko kaka

Kula chumaaiyooo

💐💐 chukua tu maua Yako v Roma uliona mbali sana. Maana kina chawa Ntobi wamemeza kiazi Cha moto midomo inacheza sebene
