Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Sophia Simba kapiga kwenye mshono.

40,019 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

Maoni Yetu's profile picture
Maoni Yetu1 year ago

Ukiona tabia fulani inazuka lazima kuna mazingira yalioichochea kukua. Kama mmea unamea mazingira fulani yakijitokeza - k.m mvua..Tujiulize uchawa umeletwa na mazingira yapi kama siyo umelelewa na kuweka pembeni meritiocracy/uwezo kwa uhusiano.

Saint 🧚's profile picture
Saint 🧚1 year ago

Tunaitaka Katiba Mpya ya Tanganyika/ Tunaitaka Tanganyika mpya/ Tunamtaka Rais wa Tanganyika

Mtanganyika OG 💯's profile picture
Mtanganyika OG 💯1 year ago

Fitina Majungu Na sifa zisizostahili

Elise Oyin's profile picture
Elise Oyin1 year ago

Moroccan woman connected to Atiku Abubakar even 0.1% you are never one with me Elise Oyinkromeineifa, you never hold, use my pregnancy ever, you dont take any from any of my babies ever, we are not sisters, never will be, you are my enemy and I hate you

Geronimo Pratt's profile picture
Geronimo Pratt1 year ago

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaefurahia uchawa

Gasto Mg's profile picture
Gasto Mg1 year ago

Tukiwa na Mama wa wamama mh Sophia Simba, hajawahi kuwa chawa wala unafki hana kabisa. Huyu ndo mpinzani mkubwa wa chama cha mwalimu @bajabiri

Gasper Millanzi's profile picture
Gasper Millanzi1 year ago

Ajiunge na no reform no elections ndio mwarobaini wa uchawa

Konkomoo‽*'s profile picture
Konkomoo‽*1 year ago

Lakini Rais mwenyewe ndio alibariki uchawa, na Rais mwenyewe aliwaambia machawa kushughulika na waliomponda. Actually neno machawa lina baraka ya Rais ya ndio anataka kufanyakazi hivo, kichawachawa

VanB's profile picture
VanB1 year ago

Huyu nae ndio wale wale tu Ni vile Hana Cheo Kwa sasa ndio maana anaropwa Ila hata anachokula Leo kimetokana na Ufisadi

Mkinga Freddie Mlowe PHD's profile picture
Mkinga Freddie Mlowe PHD1 year ago

Kaongea vizuri sana 🎉🎉

Olla#Lengaya's profile picture
Olla#Lengaya1 year ago

Atatekwaa soon n machawaa

Related Videos