Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Studio zmeficha mengi๐๐๐๐
101,644 Aufrufe โข vor 1 Monat โขvia X (Twitter)
44 Kommentare

Marioo hana sauti ya kuimba live Hata afanye mazoezi uchi hawezi

๐๐๐

Huyu tushasema aachane na live performance

Sio muelewa๐๐

Alafu kesho utakuta ni Jaji pale BSS

๐๐

Kama hujui vitu acha kujitia performance sio lazima aimbe kama original song , mwanamuziki huwezi kuimba exactly kama studio ila live performance unaweza kuongeza au kupunguza vitu kwenye original song ukitaka iwe kama original basi hiyo ni karaoke

Kidogo nishangae mbowe gani huyu ana akili

@hilarymbowe_ Mbowe baada ya kupigwa za kichwa , hii haina Comeback ๐คฃ

@AmRosalinee ๐๐ we jamaa fala sana

Sijawahi kumkubali huyu jamaa kabisa na sisikilizagi nyimbo zake.

Akiwa serious anarap fresh tuu ๐

Mambo za auto tune ๐๐

๐๐

Kipindi hiki cha Ai era, wasanii wasioweza kuimba live watapata shida sana...! ๐๐

Hawezi live

marioo live aseh aaache tu ๐๐๐

Aliefunga Setting za uo mziki amekosea tatizo no Sound , Liveshow nyingi nowadays zinawekewa reverb and delay hata kama hakuna autotune msanii ataskika vizur lakini kwenye iyo anayoimbia hakuna na kama iko ni ndogo ndo maana Ana sound vibaya

๐๐๐

Ni nini hiki๐

@ZenjiboyZnz ๐๐๐๐๐

Msaniii pumzi kisoda๐๐

yupo unga

๐๐

Dj mic mic ๐

Instrumentalists wanaangusha pia. Hiyo beat inaua psyche niaje

๐๐๐ hii wamelipa na hela kabisa

Daaaaaamn

๐ ๐ซต

Dogo live ndo hawezagi kabisa

Nashindwa kuelewa

๐๐๐๐๐

๐๐๐ asiwe hata anajaribu hii ni aibu

๐

Anaimba flat Sanaa aisee

๐๐

Msanii wako๐๐

๐๐๐

๐๐คฃ๐๐

Hata hivyo marioo live hawezi na huwa anajitahidi ila setting za music hapo ndo zimeenda kumlaza chali

๐ ๐ ๐ ๐

Sanii la grammy๐๐

Hana huo uwezo nashangaa kwanini anafanya kila siku

Huyu was PACHA wake ๐๐๐๐๐
รhnliche Videos
Huko Turkana Kenya police hujionea mengi๐๐๐
#๐๐๐ญ๐
170,942 Aufrufe โข vor 1 Monat
