Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Studio zmeficha mengi😂😂😂🙌
101,644 просмотров • 1 месяц назад •via X (Twitter)
Комментарии: 44

Marioo hana sauti ya kuimba live Hata afanye mazoezi uchi hawezi

😂😂🙌

Huyu tushasema aachane na live performance

Sio muelewa😂😂

Alafu kesho utakuta ni Jaji pale BSS

😂😂

Kama hujui vitu acha kujitia performance sio lazima aimbe kama original song , mwanamuziki huwezi kuimba exactly kama studio ila live performance unaweza kuongeza au kupunguza vitu kwenye original song ukitaka iwe kama original basi hiyo ni karaoke

Kidogo nishangae mbowe gani huyu ana akili

@hilarymbowe_ Mbowe baada ya kupigwa za kichwa , hii haina Comeback 🤣

@AmRosalinee 😃😃 we jamaa fala sana

Sijawahi kumkubali huyu jamaa kabisa na sisikilizagi nyimbo zake.

Akiwa serious anarap fresh tuu 😂

Mambo za auto tune 😂😂

😂😂

Kipindi hiki cha Ai era, wasanii wasioweza kuimba live watapata shida sana...! 😔😝

Hawezi live

marioo live aseh aaache tu 😂😂😂

Aliefunga Setting za uo mziki amekosea tatizo no Sound , Liveshow nyingi nowadays zinawekewa reverb and delay hata kama hakuna autotune msanii ataskika vizur lakini kwenye iyo anayoimbia hakuna na kama iko ni ndogo ndo maana Ana sound vibaya

😂😂😂

Ni nini hiki😂

@ZenjiboyZnz 😂😂😂😂😂

Msaniii pumzi kisoda😁😁

yupo unga

😂😂

Dj mic mic 😂

Instrumentalists wanaangusha pia. Hiyo beat inaua psyche niaje

😂😂😂 hii wamelipa na hela kabisa

Daaaaaamn

😅🫵

Dogo live ndo hawezagi kabisa

Nashindwa kuelewa

😂😂😂😂😊

😂😂😂 asiwe hata anajaribu hii ni aibu

😂

Anaimba flat Sanaa aisee

😁😁

Msanii wako😁😁

😂😂😂

😂🤣😂😂

Hata hivyo marioo live hawezi na huwa anajitahidi ila setting za music hapo ndo zimeenda kumlaza chali

😅😅😅😅

Sanii la grammy😂😂

Hana huo uwezo nashangaa kwanini anafanya kila siku

Huyu was PACHA wake 😂😂😂😂😂
