Loading video...
Video Failed to Load
Taivina jau sana😂
22,896 views • 8 days ago •via X (Twitter)
23 Comments

Huyo mjumbe shenzi nini? Anafikiri kila mtu anaishi kwa daftari, kalamu na muhuri?

😁😁😁 ndoo maana tunahitaj viongoz vijana mama anaona kijana hana kazi wakat kijana ana hisa zake kwa kanji 😁😁 huyo dada alale kwa mjumbe tu maana 😁

Simu za wakamaria😂😂

Mjumbe haelewi kama jamaa anadai ofisi yake

OFISA UBASHIRI AMETOA OPTION MBILI TU ALIPWE SIMU AU NDOA IFE.

Mjumbe hajui ya kuwa mtaji wa kwanza wa "Maafisa Ubashiri" ni simu.

Mimi bora univunje moyo siyo simu yangu

Mjumbe hajui kama Aviator imo kwenye simu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

😄 noma sana

office imevunjwa qmmmk, mkamaria anataka mambo mawili tu 😂

Huyu mjumbe anaishi dunia gan aisee

Eti ofisi, we mjumbe kichaa nini 🤣🤣🤣

Bila simu unazani jamaa atasikiliziaje mchongo😂

😂😂😂

Gen z hawaelewi 😂😂

Kuwa wazee madaraka hawajui simu ni ofisi

Huyu mama hajui kama hela zipo online aisee🤣🤣

Mjumbe kachukua upande kabla ya kesi

Wivu gani uo mchizi kaona anapandwa kichwani😂😂😂😂 wademu jau san

Mwamba yuko sahihi kwann avunje 📱 tambo lilipwe

Sijaja hapa kwa ajili ya mahojiano🤣

Kavunja Kibetio

Mwana kawaka kama pasi..😂
