#TajiriLaKihaya Alooooooo๐๐ฝ๐๐พ๐๐พ
@EsirEid57ย B takipรงi
32.730 gรถrรผntรผleme #TajiriLaKihaya
58 Yorum
Yorumlar X (Twitter) รผzerindeki orijinal gรถnderiden alฤฑnmฤฑลtฤฑr

@omurangira001
Kuna mauozo mengi sana sana nyuma maCCM. Siku wakiondoka madarakani kuna shuhuda nyingi sana za kutisha na kusikitisha zitakuja kusemwa hadharani. Huyu mama ni mmoja tu amekuwa jasiri, je ni wangapi waoga wa kujitokeza hadharani hivi? Kuna uvundo mwingi nyuma ya CCM.๐๐๐
18 beฤeni

@EsirEid
๐๐๐
2 beฤeni

@Imaninzobona
Nchi imevimba, unamnyamazisha huyu anaibuka yule
11 beฤeni

@EsirEid
Naam๐ฏ๐ฏ
1 beฤeni

@SilifanoD45205
Mama tumunge mkono mana anasaidia jami ambayo serekali haipendi
10 beฤeni

@EsirEid
๐ฏ๐ฏ๐ฏ
2 beฤeni

@Innocen89950594
Inasikitisha Sana Mzee
7 beฤeni

@EsirEid
Huzuni๐
1 beฤeni

@MagoigaS
Hii imenikumbusha ile press ya padre kitima kwamba trh 29 polisi walienda kwenye hospital za kanisa na kuamuru majeruhi wa risasi wapelekwe mortuary wakafie huko maana ni waleta fujo
7 beฤeni

@EsirEid
Daah๐๐
1 beฤeni

@HamisKittumma
Tafuteni namba ya huyo Mama tumuokoteshe walau kidogo, 623 mara 1000 sio mbayaa.
6 beฤeni

@EsirEid
Saafi
2 beฤeni

@mhabukat
Aisee mambo haya yanaumiza sana unaweza kubisha kuwa haya hayatokei tz wanasingiziwa
4 beฤeni

@EsirEid
Aisee๐

@Mujjahid9
Tanzania kisiwa cha amani bora Afghanistan wtu wanatumia mtutu w bunduki kujilinda kuliko nchi hii ya kinafki inayokutaka ufunge mdomo kila kukicha
4 beฤeni

@EsirEid
๐๐๐
2 beฤeni

@poz_chaka
Hatuogopi kutekwa tena ... Tuko pazur japo maumivu n makubwa sana
3 beฤeni

@EsirEid
Pazuri mno
1 beฤeni

@Wizdomlife44521
Taifa limejaa Uovu, Ukatili na Uonevu. Muda wowote linaweza kupoteza Heshima japo ndogo iliyobaki. Ukatili utazidi kwasababu Damu za Watu wengi zinadai Kisasi na Haki, tusipokuwa makini Watu watauwana Zaidi Nchi hii. Kuwalinda Viongozi Wahalifu na Dhaifu ni hatari kwa Umma.
3 beฤeni

@EnoldKassedy
Nchi ina injustice nyingi.
3 beฤeni





















