Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

38,674 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

40 Kommentare

Profilbild von Kilo-Volt
Kilo-Voltvor 1 Jahr

Kwa niaba yao hawa wajinga. 😂

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

@KilooVoltI 😂😅

Profilbild von Dr. Keroche Moro.🔬🔬
Dr. Keroche Moro.🔬🔬vor 1 Jahr

Huyu jamaa asingekuwa dictator angeongza Tz akachoka

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

💯💯💯

Profilbild von Alihamdulliha 🙏
Alihamdulliha 🙏vor 1 Jahr

Mimi huyu ndie Rais wangu wa muda wote Apumzike kwa amani pamoja na ndugu zetu 🙏

Profilbild von Vedastus Kimata
Vedastus Kimatavor 1 Jahr

Tena anaongezea "HAWA WAJINGA"😂🙌

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

😂😅

Profilbild von Ngosha
Ngoshavor 1 Jahr

@VedastusKimata Mshua alikuwa wamoto Sanaa😀😀

Profilbild von Vedastus Kimata
Vedastus Kimatavor 1 Jahr

@EsirEid Sana.

Profilbild von WaguKaaya
WaguKaayavor 1 Jahr

Hii awamu kusikia hili neno haipo hata kwa bahati mbaya,NEVER

Profilbild von MONI_MCHELSEA
MONI_MCHELSEAvor 1 Jahr

hate him all you want, but dude was a great example of a born leader

Profilbild von Ezekiel
Ezekielvor 1 Jahr

Ndugu yangu akiweza kujishuka kama Rais tajiri nitafute nitakupa 100k

Profilbild von Blue Boy ⚽💙
Blue Boy ⚽💙vor 1 Jahr

Ukweli ni kuwa Huyu jamaa alikuwa soft sana kwa wananchi wake lakini alikuwa dictator sana kwa viongozi wake anaowapa majukumu. Too bad hatukuweza kuling'amua hili while he was still alive. Alisema tutamkumbuka na kwa hakika TUNAMKUMBUKA!!! Aendelee kupumzika kwa amani JPM 🙏

Profilbild von Suzan Mwamba
Suzan Mwambavor 1 Jahr

Rais wanguu❤

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

💯💯

Profilbild von Nyanda Bukombe
Nyanda Bukombevor 1 Jahr

Hao wajinga ndiyo wapi

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

😂

Profilbild von Nyanda Bukombe
Nyanda Bukombevor 1 Jahr

😂😂

Profilbild von Jay Model
Jay Modelvor 1 Jahr

Aliondoka zake akatuachia wajinga waendeleze ujinga wao

Profilbild von ozguli
ozgulivor 1 Jahr

Wajinga sana

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

💔

Profilbild von Balozi wa Kibondo
Balozi wa Kibondovor 1 Jahr

“Hapa kazi tu" hafu kwa vitendo.

Profilbild von Lukendza
Lukendzavor 1 Jahr

Hawa WAJINGA 😀.

Profilbild von Canmaster Oog
Canmaster Oogvor 1 Jahr

Wajinga 😀😀

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

😂😅

Profilbild von Shakur Faith
Shakur Faithvor 1 Jahr

❤️❤️❤️

Profilbild von Desmond
Desmondvor 9 Monaten

Hao Wajinga Walikuwa Kina Nani Hapo🤣

Profilbild von conjesta
conjestavor 1 Jahr

Et hawa wajinga Sasa jichanganye now

Profilbild von GRINGO018🎨🖌️
GRINGO018🎨🖌️vor 1 Jahr

Mfano bora

Profilbild von Diana Tere
Diana Terevor 1 Jahr

Heavy on hawa wajinga 😂😂

Profilbild von Catalonia
Cataloniavor 9 Monaten

My president ♥️

Profilbild von Pdizaina
Pdizainavor 1 Jahr

Mchezo ulianzia hapa

Profilbild von simatitus
simatitusvor 1 Jahr

Kwa niaba ya hawa wajinga

Profilbild von Christopher Mjomba
Christopher Mjombavor 1 Jahr

Stop the Violence! End the ruthless killings of Tanzanians justice for the thousands lost in the post-election crackdown. #StopTanzaniaKillings #SaveTanzania #SamiaMustGo

Profilbild von John Kisomo
John Kisomovor 1 Jahr

Kwaniaba yao hao wajinga😂

Profilbild von Professor Jamvileo
Professor Jamvileovor 1 Jahr

😂😂😂

Profilbild von Dennis Mwijage
Dennis Mwijagevor 1 Jahr

tatizo huyu mwomba radhi mda alipokuwa akiona nchi inajaribu kuchezewa akakataa, walimwona katili na sio mpenda 'demokrasia' kiasi hata alivyoingia bi mkubwa tweet za kuona bi mkubwa ndo mpole kiasi hata mavuzi wahisi wang'oe mavuzi yake zikajaa vichwani...raisi hulinda jamhuri

Profilbild von No Name
No Namevor 1 Jahr

Duh

Profilbild von Ramzan Kadyrov
Ramzan Kadyrovvor 1 Jahr

Hamna kitu TAPELI huyo

Profilbild von MTINDO
MTINDOvor 1 Jahr

Kauli kama hii hata umwambie Rais wa QZHSINSKKW aongee kwa kuigiza tu (yaani isitoke moyoni) hawezi.

Ähnliche Videos