Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
#TajiriLaKihaya Your Thoughts??
53,874 Aufrufe • vor 9 Monaten •via X (Twitter)
53 Kommentare

Kwanini Rais asitoke kesho na kuongea? Hakuna gwaride? Rais yupo kweli? Anatuogopa watu Milioni 30+ tuliompigia kura?

😅😂

Mama Sykes kwa sasa anajificha kinoma

Baada ya "Haki ya KUISHI na Uhuru wa Maoni" kuchezewa "freedom of MOVEMENT" nayo imeingiliwa Hii Nchi 😡

@OzikoJo 💔💔

This means kesho kutakua hakuna mtandao ndo maana wametoa tamko lao mapema PM hajui tofauti ya uhuru wa Tanzania na Tanganyika so sad😔 Nyerere aliikomboa Tanganyika na sas ni zamu yetu kuikomboa Tanzania Tanzania bado haipo huru ila soon tutaikomboa

💔💔

Raha ya sikukuu ni kisherekea sio kukaa ndani Tajiri😂

Sahihi💯💯

My thoughts is........ kuna kitu hakipo sawa mpaka muda huu.

💯💯

Siku ya uhuru hatuko huru💔

💔💔

Mbona wana haraka hvyo kwanini wasitu-wish hyo kesho!!

💯💯💯

Siku ya uhuru hatuko huru , taifa lipo gizani

💔

Raisi hataki kuongea na watu 98% tuliommpigia kura

😅

Rais yupi uyo kachaguliwa na nani mmekosa ata Aibu wezi wa Haki zetu

💔

Body language conveys his true intentions more clearly than the words he speaks. #FearOfUnknown

💯💯💯

Hayo ni majukumu ya rais kutoa hizo taarifa Kwa wananchi wake waliompa kura asilimia 98%.

💯

Kwamba kesho hakutakua na internet 😂😂

😅

😅

@EsirEid Nimecheka 😂🫵🏾

Body language inaonesha pressure ni kubwa kuelekea D9, plus uharamia walioufanya Mo29. Je wamejipangaje?? Wapi VP ?? Kuna nusu mlingoti tayari kwa 🐸?

💯💯💯

Kwani si mlisema akutakuwa na iyo sherehe sasa mnatutakaje tusherehekee majumbani mnatuchaganya embu elewekeni..

upuuzwe, raisi atajisemea mwenyewe, sisi raia tunatafakari

😅

Watanzania hatumtambui kiongozi yeyote wa ngazi yoyote ya kisiasa kwa kuwa hawapo kihalali kwenye nafasi zao. Ila tujiulize swali, kiprotokali waziri mkuu yupo nafasi ya tatu kiukubwa, inakuwaje waziri mkuu ndio atoe ujumbe kwa niaba ya rais na siyo makamu wa rais?? 🙄😴 #D9

Hii Statement hii dhdiskdghshd kuna dhdjsksv namna hdhdjsu imekaa ki dhdhshsjs hivi

Ndugu Wananchiiii……..

Kuna kitu hakipo sawa warumi watuhesabie kirumi kinyumenyume wakihesabu kawaida trh17 kuna tamko jingine. Nawaza nifute hii comment niandike pray for Gaza free 🇵🇸

Rais gani we don’t have President.Huyo Rais wako kaa nae ndan .sisi tunatoka mambo ya kukaa ndani fanya na malaya wenzako

Salamu za uhuru wa Tanganyika, anapewa Tanzania bara..salamu zilizotakiwa zitoke 9/12 zimetoka 8/12, hawa wahuni hawachelewi kuja na belated uhuru day next time, watoke tu madarakani...

Hili ni tangazo kwa wananchi au ni kwa watumishi wa umma. !!!

Italeta shida

Njoo nkushow

Rais wa wapi kwanza huyu

Mwigulu na aliyemtuma ni wapumbavu

HATUSIKITIKI TENA KWA VIFO VYA KUJITAKIA

kwann aagizwe aje atuambie yeye

Mlete huyooo aje mwenyewe huyooo!

Viongozi mnakosea tuacheni tusherehekee Uhuru wetu.

💯💯

Vitu vya kuongea tu short and clear mpaka asome kama alivo soma CDF yani utafikiri yupo chini ya ulinzi.

raisi hafahamu kuwa tarehe tisa mwezi wa kumi na mbili tunakumbuka uhuru wa taifa la Tanganyika na sio tanzania bara aisee

Taifa lingepataje uhuru sasa kama kila mtu angekaa ndani????????
Ähnliche Videos
Sensitive content
#TajiriLaKihaya DO NOT DRINK AND DRIVE💔
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
77,687 Aufrufe • vor 2 Monaten
