Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Takataka Msigwa na Genge Lake

33,305 views • 1 year ago •via X (Twitter)

10 Comments

Mr power plug 💪🏻's profile picture
Mr power plug 💪🏻1 year ago

Akina @EduTalkTz , kuongoza chadema tena dhidi ya ccm yenye backup ya polisi a watanzania waoga is not for everybody mzee !! Ni sawa unahitaji democrasia lakini unaangalia na Alama za nyakati. Tz nzima no one can survive what Freeman have been through no one .

PAPA G's profile picture
PAPA G1 year ago

Hajaitisha press ya usiku?

Clement A Manang's profile picture
Clement A Manang1 year ago

Hashindwi tusubiri leo usiku

Laizer🐐's profile picture
Laizer🐐1 year ago

Msigwa ni tapeli kama gwajima

AJ Photography's profile picture
AJ Photography1 year ago

Edo mbona anasound kama 😀😀😀 ila alichosema kina uhalisia ukweli

Chepe's profile picture
Chepe1 year ago

Kweli wasiomtaka Mbowe ni wengi nje ya CHADEMA kuliko ndani. Na ni wale wanaotamani CDM ife. Mbowe akiondoka CDM Leo watakaotengeneza sherehe kubwa ni CCM ,watasherehekea week nzima. So... CDM mnatakiwa kujiuliza,kwanini hili shinikizo linatoka nnje zaidi kuliko ndani .

Zingibermc's profile picture
Zingibermc1 year ago

Sio kweli kua watu wasiotaka Mbowe aendelee kuwa MWENYEKITI kua wako nje ya CHADEMA, sio kweli hata kidogo. Yaan ukimpenda mwanachama mwingine tofaut na Mbowe na kupendekeza kuwa awe kiongoz wa juu tayar unakua uko nje ya CHADEMA? Hii demokrasia vip? Kwahyo wanaompenda TL n CCM?

Hardtaget,'s profile picture
Hardtaget,1 year ago

Kuuficha ukweli ni ngumu kama kutaka kwenda ahela bila kufa! Mwamba anakomaa sana. Ukiwa na akili za kifikra na mtazamo wa taifa lilipo na lilikopita mtu wa aina ya FAM ni adui no moja wa wahuni! Kama bunadamu makosa yapo kajisemea jana ila ACHUKUE MAUWA YAKE

Lug's profile picture
Lug1 year ago

Na ni "watoto wadogo"

Benaiah's profile picture
Benaiah1 year ago

Kama Chadema isingekuwa chini ya Mbowe mwaka 2015,CCM isingekuwa madarakami

Related Videos