Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

VIDEO: Mchungaji Peter Msigwa Peter Msigwa amlalamikia Freeman Mbowe kuwafanyisha maandamano yasiyokuwa na tija "nimechoka kukunja ngumi"

50,335 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Aple
Aple2 лет назад

@MsigwaPeter Ulichoka na bado ukagombea uongozi? Na hata baada ya kushindwa ukaenda kwenye mikutano ya Lisu kukunja ngumi? @MsigwaPeter Unasahau haraka sana.

Фото профиля msouth
msouth2 лет назад

@MsigwaPeter Baba jimmy nawe acha kutuchekesha bana asa umechoka kuandamanishwa umeona bora ukafirwe na viongoz wa ccm.

Фото профиля CAT POWER
CAT POWER2 лет назад

@MsigwaPeter Watu wasio na msimamo si wakuwasikiliza wakati huu nchi inapohitaji mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi watu wa kutuchanganya hawana msimamo kikubwa kwao ni masrahi binafsi ndio maana leo anaongea hili kesho lile ni watu hatari

Фото профиля Francis
Francis2 лет назад

@MsigwaPeter Hivi kuna watu wanapoteza Mb kumsikiliza huyu?🤔 Tatizo la Mbwa kichaa,ipo siku humgeuka hata mmiliki wake. Kwa hyo ukinunua Mbwa kichaa,ujue ipo siku nawe atakugeuka. It's the Law of the jungle.

Фото профиля Mboni
Mboni2 лет назад

@MsigwaPeter Akapimwe akili huyu aisee

Фото профиля USHINDI NI WETU RUDISHA MALI
USHINDI NI WETU RUDISHA MALI2 лет назад

@MsigwaPeter Kwaiyo vidole juu ndio anaweza kifupi Hana jipwa

Фото профиля Pam Belinda 🥇
Pam Belinda 🥇2 лет назад

@MsigwaPeter Hadi ulipokosa Uenyekiti wa Kanda.. ndio ukagundua umechoka kukunja ngumi..?!

Фото профиля comrade zoazoa
comrade zoazoa2 лет назад

@MsigwaPeter Wenye ccm yao wapo kule nyuma wanamuona kama kituko, maana wenyewe wanajua chadema ni habari ingine

Фото профиля king_davd_ll
king_davd_ll2 лет назад

@MsigwaPeter Mnauhakika ni mchungaji kweli?

Фото профиля Reuben Mwakijale
Reuben Mwakijale2 лет назад

@MsigwaPeter Huyu alihama muda mrefu sana.

Похожие видео