Loading video...
Video Failed to Load
TEC be warned...
10,991 views • 10 months ago •via X (Twitter)
19 Comments

Spinning maneno ya Mwalimu?

Wote tumeangalia clip moja Ila wewe hujalewa kinachoongelewa...Zama za spinning zimepita! Dec 9 tunamng'oa mkoloni mweusi, shiriki tukio hili la kihistoria. Asante kwa kunisikiliza. Christmas Mubarak!

Mkuu si jambo Mtu mwenye akili timamu kujifanya Punguwani. Mimi ni Muslim, lakin kama kuna watu wamefanya na bado wanachochea uharibifu openly na hawagiswi basi ni BAKWATA, why msiwakee hao? whatever hata TEC wana makosa yao ,sada usiwakemee wote? Ewe Mr Robot?

Story ya TEC huwezi kuifahamu kwa akili ya kushikiwa. Ngoja nikupe hint. Bakwata ni zao la TEC. TEC walishiriki kuiua jumuiya ya Waislam ilikuwepo kabla. Hebu tafuta kitabu cha Father John Silvalon - Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania. Father John alikua Mkuu wa White Fathers Tanzania. Mimi nilikua nafahamiana nae sana. Sasa amerudi kwao US kama Mkuu wa White Fathers duniani. Ukisoma maandishi yao wenyewe utaifahamu TEC na njama zao dhidi ya Tanzania.

Ahsante Mkuu

Wew ni sehemu ya mwisho ya digestive system. Ujawah kuelewa kitu

Alisema vizuri mambo ya kuchochana kidini, you are just twisting it.

Sasa mbona mzee ndo anawaonya wale mashehe chinjachinja

SAMIA Suluhu LISTEN TO THIS MESSAGE. NYERERE KNEW WHAT WAS COMING TO INFLICT WATANZANIA. SAD SAD.

Hakuonya acheni usenge, mbona hamuweki video zake akisema nchi Lazima iwe na haki kabla ya Amani

La3 A”😂😂😂

Acha usenge amesema uhongozi ulitaka kuwaongoza kwa janja na ndio uliwagawanyisha. na wakaanza kuuana ndiomaana anazungumzia watu wa dhehebu moja waliuana wao kwa wao mpaka ndani yakanisa

Were atrocities committed or NOT - distraction ya nini?

Kwani Sudan huko wanakochinjana kuna TEC huko ? Mkundu wa Mamaako ww

Kichwa kisichokua na akili ni mzigo kwa shingo Unatazama Lakin huoni unasikia Lakin huelewi🚮🚾

@ccm_tanzania yani chama kinajichoma… huwezi amini hi ni hile chama cha J P Magufuli. Kwasasa hakuna cha chama, ni wananchi na ccm.

Basi la "UDINI" Nauli yake iko juu sana hatupandi Sio kwa kizazi hiki , ila Siasa ni Maisha yetu 😂

Na ndio maana alianza kwa kuelewesha kuanzia makabila kwamba kabila moja na dini moja fuck @Oraibtz jaribu kujifunza uchambuzi co kusambaza propaganda co kuongea kama hauna kichwa....!

🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
