Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Thank you Balozi. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

89,065 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

9 Kommentare

Profilbild von 𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚vor 1 Jahr

Elewa vizuri; As your largest bilateral donor!Jamani tajiri kamaind. Kama huna D mbili unaweza usielewe. Jamaa wana contribute 7.5 Billion USD, this is USA taxpayers' money. Hii ni significant amount manake inaboost budget ya Tanzania kwa kiasi kikubwa. Mind you, sio debt financing; it's a grant guys... alafu tunataka ku-breach democracy. No joke, hawa jamaa wakiondoka, Wachina watatuwa.

Profilbild von Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿vor 1 Jahr

Balozi ameona aanze kabisa na kutaja msaada kwa kiwango ambao Marekani ameshatupatia; kisha anaonyesha kuwa wana haki ya kutusimamia kama “monitor”! Ujamaa na Kujitegemea ulikuwa na lengo kubwa sana

Profilbild von Filbert Lamosai
Filbert Lamosaivor 1 Jahr

Wenzetu hawana cha "mama anaupiga mwingi" au kusema "mumeelewa vibaya hotuba ya Rais"...Mumeo anapokupa sh. Trilion 1 kila mwaka kwa miaka 20 mfululizo nje ya mkopo, hutakiwi kumpangia mkao wa kukuweka wakati wa tendo.

Profilbild von Charlie Brown
Charlie Brownvor 1 Jahr

Unapewa $7.5B in two years kuendesha serikali chakavu iliyojaa rushwa,upigaji,uvunjifu wa haki za binadamu, demokrasia na isiyo na utawala bora, halafu unakuja na maneno ya shombo kwa wafadhili wako, eti...

Profilbild von bettertips
bettertipsvor 1 Jahr

Matured democracy is very important

Profilbild von Mr-vpn100% u r in my memory
Mr-vpn100% u r in my memoryvor 1 Jahr

Ccm bhana Pesa wanakula Halafu wanapaniki Wakae kwa kutulia. Dawa iwaingie

Profilbild von MTEMI
MTEMIvor 1 Jahr

@HecheJohn Balozi kanyoosha. Kwani yeye hakumsikia Rais kuwa hatupangiwi na hatuwaingilii kule kwao? Nadhani Uv wafanye jambo kwa balozi ajifunze kuwa #mamayukokazini ☺

Profilbild von Mr-vpn100% u r in my memory
Mr-vpn100% u r in my memoryvor 1 Jahr

Hawa Ndyo mabalozi sasa. Kubebekeeeee Humu tuuuuuu

Profilbild von Alphonce C L
Alphonce C Lvor 1 Jahr

Balozi talks kwa uchungu more than our county men and women, we are lost.

Ähnliche Videos