Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Thank you Balozi. ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ

89,065 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

9 Comments

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š's profile picture
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š2 years ago

Elewa vizuri; As your largest bilateral donor!Jamani tajiri kamaind. Kama huna D mbili unaweza usielewe. Jamaa wana contribute 7.5 Billion USD, this is USA taxpayers' money. Hii ni significant amount manake inaboost budget ya Tanzania kwa kiasi kikubwa. Mind you, sio debt financing; it's a grant guys... alafu tunataka ku-breach democracy. No joke, hawa jamaa wakiondoka, Wachina watatuwa.

Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

Balozi ameona aanze kabisa na kutaja msaada kwa kiwango ambao Marekani ameshatupatia; kisha anaonyesha kuwa wana haki ya kutusimamia kama โ€œmonitorโ€! Ujamaa na Kujitegemea ulikuwa na lengo kubwa sana

Filbert Lamosai's profile picture
Filbert Lamosai2 years ago

Wenzetu hawana cha "mama anaupiga mwingi" au kusema "mumeelewa vibaya hotuba ya Rais"...Mumeo anapokupa sh. Trilion 1 kila mwaka kwa miaka 20 mfululizo nje ya mkopo, hutakiwi kumpangia mkao wa kukuweka wakati wa tendo.

Charlie Brown's profile picture
Charlie Brown2 years ago

Unapewa $7.5B in two years kuendesha serikali chakavu iliyojaa rushwa,upigaji,uvunjifu wa haki za binadamu, demokrasia na isiyo na utawala bora, halafu unakuja na maneno ya shombo kwa wafadhili wako, eti...

bettertips's profile picture
bettertips2 years ago

Matured democracy is very important

Mr-vpn100% u r in my memory's profile picture
Mr-vpn100% u r in my memory2 years ago

Ccm bhana Pesa wanakula Halafu wanapaniki Wakae kwa kutulia. Dawa iwaingie

MTEMI's profile picture
MTEMI2 years ago

@HecheJohn Balozi kanyoosha. Kwani yeye hakumsikia Rais kuwa hatupangiwi na hatuwaingilii kule kwao? Nadhani Uv wafanye jambo kwa balozi ajifunze kuwa #mamayukokazini โ˜บ

Mr-vpn100% u r in my memory's profile picture
Mr-vpn100% u r in my memory2 years ago

Hawa Ndyo mabalozi sasa. Kubebekeeeee Humu tuuuuuu

Alphonce C L's profile picture
Alphonce C L2 years ago

Balozi talks kwa uchungu more than our county men and women, we are lost.

Related Videos