Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Thank you. This is real helpful advice.

47,396 Aufrufe • vor 8 Monaten •via X (Twitter)

23 Kommentare

Profilbild von Tito Magoti
Tito Magotivor 8 Monaten

Msenge motivational speaker kama mpuuzi Nanauka.. mtu yeyote wa maana hawezi kuwa sehemu ya serikali ya muuwaji Samia. Soft tongue haisaidii. Usi endorse hawa wapumbavu Mangi.

Profilbild von Hashmïus ♊
Hashmïus ♊vor 8 Monaten

Mtaka huwa ana make sense sana tu.... Ni aina ya wana CCM ambao angalau wanastahili heshima flan hivi

Profilbild von MAGABASHU KAIJAGE
MAGABASHU KAIJAGEvor 8 Monaten

Huyu uwa ni miongoni mwa watu wenye maono tofauti kutokea kwenye chama cha majangiri na majambazi, anafaa sana ila tatzo waliokalia njia kuu ni watu hatari kwa taifa.

Profilbild von Mzungu mweusi
Mzungu mweusivor 8 Monaten

Viongozi Wote wangekuwa kama huyu Mwamba sidhani kama kungekuwa Na haja ya kuichukia CCM

Profilbild von Joe boy
Joe boyvor 8 Monaten

Kati ya watu ninawaombea sana kuja kuchukua uongozi wa juuu kwenye hiii nchi ni Anthony mtaka, this man defines meaning of real man

Profilbild von Licado
Licadovor 8 Monaten

Wazazi wa wazamani walipenda HAKI kuanzia kwenye familia mpaka Taifa. Kwa sababu hiyo, familia na mataifa yakabarikiwa. Mungu ni HAKI & UPENDO. Malezi bila HAKI, UTU na UPENDO ni sawa na kazi bure. Viongozi walioua 29.10.2025, hata walee malezi yote, laana zinahamia Kwa watoto.

Profilbild von Oktaviani Mwakinga
Oktaviani Mwakingavor 8 Monaten

Mkuu wa mkoa wa njombe huyu yupo pouwa xana

Profilbild von WE_ZOMBIE💀🍁
WE_ZOMBIE💀🍁vor 8 Monaten

Wazazi wote wanaujua huuu ukweli ila sijui shida inakujaga wapi sijui ndo personal trauma na maisha walioyapitia

Profilbild von Captain Ibrahim Traore
Captain Ibrahim Traorevor 8 Monaten

Mkuu wa mkoa wangu huyu mm nipo dar lkn nakubali San ufanyaji wake wa kazi good performance mkuu..Ikimpendeza mungu uwe wazir mkuu

Profilbild von Memirieki, ThomasF.
Memirieki, ThomasF.vor 8 Monaten

LiAbdul hilo 🗑 🚮

Profilbild von Fischer 🇩🇪
Fischer 🇩🇪vor 8 Monaten

Kama huyu ni hasara tayari kwa mama yake.🤣🤣🤣🤣

Profilbild von ℂ𝕒𝕡𝕥𝕒𝕚𝕟 𝔽𝕠𝕟𝕫𝕚𝕖
ℂ𝕒𝕡𝕥𝕒𝕚𝕟 𝔽𝕠𝕟𝕫𝕚𝕖vor 8 Monaten

Jasusi

Profilbild von Peter Dafi
Peter Dafivor 8 Monaten

Zao Bora la Chama cha Mapinduzi 💪🏿

Profilbild von bin Luc
bin Lucvor 8 Monaten

Malezi ndio kilakitu faza kaongea point

Profilbild von Jomba Fares Makene
Jomba Fares Makenevor 8 Monaten

Anthony Mtaka will go down as one of the best Reginal commissioner in the history of Tanzania

Profilbild von Dr.Erick Matimbwi
Dr.Erick Matimbwivor 8 Monaten

Mtaka ni mmoja tu💪

Profilbild von Philberth Philipo Alicad 🇹🇿
Philberth Philipo Alicad 🇹🇿vor 8 Monaten

Kijana mmoja wa PM mmoja….

Profilbild von KAMIMI 🐐 🕘
KAMIMI 🐐 🕘vor 8 Monaten

@NamdiAzikiwe On point sana

Profilbild von Rabin
Rabinvor 8 Monaten

Yaani, na Yuko sahihi, sasa hivi maeneo ya msasani, mikocheni, masaki nk DSM yanauzwa kwa wachina zinashushwa apartments balaa

Profilbild von Paulo Fonyoke
Paulo Fonyokevor 8 Monaten

Huyu mkuu huwa Ana hofu ya Mungu kweli kweli, ubarikiwe Mtumishi wa Bwna

Profilbild von ◇
◇vor 8 Monaten

Malezi ya hovyo hasa waliyopata hawa mnaita Gen Z ni hatari sana kuliko malezi yoyote yale!!

Profilbild von Chameru A-TOWN
Chameru A-TOWNvor 8 Monaten

Mtoto akiwa wajamii tutaona tabia nzuri but siyo kwa sasa unamchapa mtoto wamtu anakuwakia kama petrol au akupeleke polic jambo ambalo ulikua unamuonya mtoto anaye tukana ovyo au anafanya tabia isiyo faa mfanounasiku nimekuta mtoto kat ya miaka 10-12 anamwambia mvulana nipe buku nikupe..... sikua na budi kuchma fimbo na kuwachapa kweli lakin mzaz wake akaja kuniwakia na baadae nikamuelewesha akaelewa nilimwambia huyu mtoto ni si wako pekeyako ni wajamii kama unaona ni wakwako mjeruhi kidogo uone kama atakua wako basi yakaisha but ili mtoto awe natabia nzuri tuachane na usuper star wa ulaya tuachane na masuala ya kimangaribi ambapo mtoto huruhusiw hata kumfinya huo ni ujinga na tutavuna janga lisilo faa kwa taifa... Angalia vijana wa sahiv wanatukana mbele ya watu wazima wala hawawogop wala kuwaheshim lakin angekuepo mzaz wake angekkua na of kidogo

Profilbild von CPSP(T)-ABDALLAH ISSA
CPSP(T)-ABDALLAH ISSAvor 8 Monaten

Huyu RC ni mtu wa manna sana

Ähnliche Videos