Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
The Idea was very Brilliant.
53,048 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Yaan hata kwenye ad imesemwa baraza kuu la ki historia..af kuna mtu anasema n mapinduzi..this is sad..Ila aliyekua katibu wako n mtu wa maana sana! MUNGU akiwashindia tarehe 21/Jan..ile kaz ya Mrema inamfaa sana 😄

Mpumbavu fulani anatoka huko atokako anasema ilikuwa njama ya kufanya mapinduzi. Actually Mbowe akishinda siwezi tena kuwapenda upinzani

Hapo ungemtag Wenje.

"A book of cinematic velocity and frequent, dark satiric impact. Think of it as a brilliant exercise in multi genre collage, a mash-up of some of the best elements of the thriller, the novel of ideas, anarchism, philosophy and quantum theory. Highly recommended." —Vancouver Sun

You can fool some people sometimes but you can’t fool all the people all the time

Mangi hutaki wapumue wapange waje na comeback Gani 😁

Mhe @godbless_lema kwa nini msingetumia approach nyingine kumaliza haya mambo? mnajenga ufa mkubwa ambao utawaghalimu sana baada ya uchaguzi kuwini trust ya wananchi, hamjalifikilia hili? what will happen after the election with all these informations your feeding the public!!?

Should Lissu & Heche prevail on the incoming election, then Golugwa should think of succeeding Mnyika. His interpersonal skills & experience checks out all the boxes for that position.

Uzuri ni kwamba wanaoiua chadema ni wanachama waliotoka vyama vingine kuja kujiunga na cdm na Sasa ndo wamekuwa mwiba . Cdm imeshagawanyika makundi mawili kama matako Wasengerema sana Hawa viongozi Tena wanaume wanasutana mitandaoni kama wanawake vile . Bora ccm iongoze milele tu

Nilikuwa natuma kwenye namba hii nione km inatoa jina la Lema km alivyosema yule chizi wa jana

Mh mara baadavtu ya uchaguzi naomba hii irudi tena kwa nguvu kubwa zaidi
