Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
THIS IS HECHE!
Комментарии: 25

MAN HECHE...!

Mwandishi aliamua kuutikisa Mzinga makusudi ili Nyuki wote watoke🤣🤣🤣🤣🤣

Me nahisi Heche Kuna Backup Nyuma yake hizo Sumu Ukitema mtu wa Kawaida kutoka hapo ITV Hadi Mwenge au Sayansi hautoboi. 😂

Smartness in Heche bro 🫡

Picha linaanza mwandishi alikuwa anafurahi kumuhoji.. Lakini pia kipindi ni dk 45 kikaenda saa nzima..

Ukimsikiliza heche usipomuelewa. basi matatizo yako ya akili ni makubwa kuliko unavyodhani

The best politician in our country

@Polonium_210c4 Marudi yake hii ni lini @Wakazi

@HecheJohn hii ya moto sana

A" student🙌

Thanks. Nilikosa hizi DAKIKA 45.

Wajobu karibu chadema mkuu

Kafirwe kule

Ila FA kaenda speed sana aisee 🙌💔

Naam

Hivi nchi kuna muda ukiangalia unaona ujinga mwingi unafanywa na bora utawala kuliko utawala bora

Hii ilikuwa nzito....

Ladies and gentlemen

❤️

Doing what's should be done. Kudos!

Heche kaipaisha ITV.

He plays so dearly! good message!

Amalizie kumwambia dada kwamba hii siyo IPP media iliyoachwa na marehemu.

Anatumia lugha nyepesi usiponyaka hizo concept unakua unazngua

Huyu ni hadhina ya nchi
