Loading video...
Video Failed to Load
This is how they were randomly and recklessly shooting at citizens.
181,390 views • 10 months ago •via X (Twitter)
27 Comments

🙌

Kama Samia na genge lake wadhani kwa kutupiga risasi na kutuua, wametujengea HOFU ya Kuwapinga, basi watambue kuwa wametujengea hofu ya kuipoteza nchi yetu na kuibaikisha kwenye mikono ya wanyonyaji wachache. Wametujengea Hofu ya kuendelea kuona tunatekwa na kufupishiwa maisha, Hofu ya kuendelea kuona watoto wetu wakiishi kwa mlo mmoja wakati Watoto Wao wakichezea mabilioni ya fedha mikononi mwao, wametujengea Hofu ya kuendelea kuona vijana wakiishi mitaani bila ajira, Hofu ya kuendelea kuona Mahakama inapokwa Madaraka ya kutoa haki, Hofu ya kuendelea kuona wanaodai haki wanatupwa magerezani kwa kesi za kubumba. Wametujengea Hofu ya kuona tuondolewa kwenye maeneo yetu ya Asili kwaajili ya Wao kufanya miradi yao ya kujilimbikizia fedha. Wametujengea Hofu ya kupoteza Bandari zetu na Misitu yetu. Hii milio ya risasi na vifo vya ndugu zetu, vimejenga zaidi chuki tuliyo nayo dhidi ya hawa wadhalimu wanaotukandamiza badala ya Hofu ya kuwaogopa. Vifo vya jamaa zetu ni kumbusho la kudumu la kuwapinga wasitutawale. Damu iliyomwagika imetujengea ujasiri wa kuipigania haki na kutaka usawa katika nchi yetu. Wanachi tunapitia uchungu mkubwa sana ambao hatutaubeba tena kwa kificho bali tutatoka na kuendelea kumpinga Samia na Genge lake mpaka tuipate Tanzania tuitakayo yenye haki na kujali utu. Kwasababu hatutaki kuishi kwa Hofu, tutaendelea kupambana na tutashinda na kuiondoa hii hofu isitawale vizazi vyetu. #Tutakuwepo #TutaelewanaTu @MariaSTsehai @Sativa255 @IAMartin_ @TitoMagoti @godbless_lema

How can a government import such to come use it against its citizens! Shame on you @SuluhuSamia

#SamiaMustGo #SaveTanzania #TanzaniaMassacre

Jamaa wanawashwa sana wangeomba battle na Kagame tu 😅. Nini sasa kupiga/kuua raia wasio na hatia hovyo hivo😥

They should be held accountable for the deaths and destruction caused by this.

Utadhani walikuwa wanawinda swala kumbe ni binadamu

Walipewa magari hayo mapya Ili wakaue Raia badala ya kulinda Raia

armed cilivilians in other countries comes with their own challenges, but it is a guarantee that they can never fall to such levels of tyranny and dictatorship.

Katika Tanzania , polisi kupiga risasi bila tishio la maisha ni ukiukaji mzito wa Kanuni za Maadili na Tabia za Polisi . Matumizi ya nguvu lazima yawe ya lazima, yenye uwiano na kwa mujibu wa sheria. Tunahitaji uwajibikaji wa haraka! #HakiZaBinadamu #UwajibikajiPolisi #Tanzania

And these soldiers will think they're brave, yet they're shooting at unarmed citizens. But if you tell them to go fight Al Shabaab or other armed groups, they'll start urinating on themselves.

Military men or police?

You are responsible 4the murders committed on October 29th, your bad influence mislead the youth for your personal gain, it is even shameful to think you and your gangs can sleep peacefully after such action . Laana iwe juu yenu.

Polisi Tanzania siku yako inakuja watawahitaji Raia wawasaidie ila Raia watamsaidia adui hapo ndipo watakumbuka 2025. Hawa wameshajichimbia kaburi

Why don't they pick someone their size who is armed? #iposiku

Kama vitani

Nikurudi uwanja wa vita nchi haikombolewi twitter 🇹🇿🇹🇿

@IntlCrimCourt

Oh Mungu tusaidie hapo hata kama upo ndani inakupata

@JamiliMbar63594 Samia anaua watu wetu.

😭💔

Ooh my God!!! Sikutarajia siku Moja raisi wa Tanzania atakuja kuuwa wanainchi namna hii. Kama Dunia inaisha vire

Daaaah noma sana

Mange ww ndo wa kulaumiwa, ulisema jeshi litatulinda

@elonmusk @IntlCrimCourt @POTUS @realDonaldTrump @realDonaldTrump @AmnestyEARO

Dawa yao hii hapa

DAH...
Related Videos
Sensitive content
is this how people kiss people they randomly meet? or it’s staged?
🦋still pretty
1,463,995 views • 1 month ago
