34 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Sativa255
😂😂 Daah
8 likes

@PMadeleka
😂😂😂😂
2 likes

@Unalitenihapo
Nikikumbuka waliotoa TZS 183 MILLION ili ufutwe UWAKILI walivyoyapeliwa nachoka mzeee😂😂
2 likes

@Ruhuwiko2020
80M dah aise ndo maana anaongea ongea sana 😂😂
2 likes

@augustinejp1_
Umerudishiwa ya plea bagein? Tugawane mwanetu🤣🤣🤣🤣
1 like

@DullahKombo
Unastahili kuvuna mpunga huo na kuutumia bila kuonewa wivu
1 like

@PMadeleka
Asante sana 🙏
3 likes

@ekasoma
Ila pita una vitiko sana, kweli karne hii bado tunabeba fedha kwenye vifurushi? Bila shaka unatukumbusha mbanga za jamaa zako wa utakatishaji....wakati unaenda kukabidhi mizigo.😂😂😂
1 like

@ErNyoni
Eh! Nawe umeanza tabia za kisukuma? 😂
1 like

@Mwinshehe07
🙌🙌🙌
1 like

@BaltazaryS73044
Mambo mengine yanaumiza yaani mtu mfukoni nina jero halafu wakili msomi anaburungutu ,kweli life is not the same, nitume namba unimeegee kidogo wakili kutoa nimoyo mkuu sio utajiri
1 like

@Madola__
Mkuu hizi pesa unapeleka kufanya plea bargaining au?

@mshombsy
Mpunga wa Biswalo hilo sandarusi🤣?

@UmeingiaTarime
How was this delivered in cash?

@MangiiShop
mkiambiwa betting inalipa muwe mnaelewa

@kenycrux
😁😁😁

@Johnkataisa
Wamejenga bhana🖐

@mwala_harry
plea bargain went into the pockets of JPM ?

@Georgeulaya122
Jumatatu unakwenda kujipigia tena wale jamaa😁😁😁😁

@Lubatiko23
Hila madeleka 😂😂😂












