Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

TUHESHIMIANE.

148,221 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Hilda Newton
Hilda Newton1 год назад

Uheshimiane na nani? Hiyo heshima wewe na hao wenzako mnayo? Mnabambika Viongozi wa CHADEMA kesi halafu hamtaki watu waje kusikiliza hizi akili au matope? Kama mnaushaidi wa kutosha kwanini mnaogopa Waangalizi wa Kimataifa? Nyie na Mama yenu mmeteka Vijana wetu akina Deusdedith Soka, Jacob Mlay, Frank Mbise, Chaula, Dinioz Kipanya, Amani Manengelo na juzi memchukua Mdude Nyagali. Halafu mnataka heshima nan awape heshima wauaji kama nyinyi?🚮🚮🚮🚮

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

this beat is wild

Фото профиля Tito Magoti
Tito Magoti1 год назад

Acheni ulimbukeni🚮🚮

Фото профиля Lab Technologist 🔬
Lab Technologist 🔬1 год назад

kwamba mteke , nmpe uhaini ili mmunyonge then majirani wakae wamejifungia tu mtu anakufa sio☺️😄 hii nchi ya hovyo sana , harafu oktoba mkijitangaza mnataka waje kuwapongeza na washiriki shereehe ya uapisho?? SIO WAJINGA KIHIVYO

Фото профиля Dabantz
Dabantz1 год назад

Kutoka kuwa taa ya Afrika hadi kuwa kivuli cha udikteta — Tanzania imepoteza dira. Tulikuwa kimbilio la wapigania uhuru, leo tunawafukuza wapigania haki. Historia inatuangalia kwa huzuni, na kizazi cha leo kinapaswa kujiuliza: tumewaridhisha mababu zetu au tumewasaliti?

Фото профиля mawazo tofauti
mawazo tofauti1 год назад

Sisi wananchi pia tunataka heshima kwenye kura tunazopiga kuchagua viongozi wetu

Фото профиля Thadei Mhabuka
Thadei Mhabuka1 год назад

Ndugu msigwa kuna kitu gani serikali yenu inataka kuficha mbele jumuiya ya kimataifa kwani kuna nini kingeweza kutokea endapo mkiruhusu watu wakaja kisikiliza kes mliyo mpa mh Lisu ya uhaini wambieni wapelelez wenu wakamilishe upelelez muionyeshe dunia uhaini alio panga kufanya.

Фото профиля king_davd_ll
king_davd_ll1 год назад

Utaheshimika ukiheshimu wenzio tu Vinginevyo jiandaeni kukutana na vibuli vya utii kila kona ANGUKO LENU LIPO KALIBU SANA KULIKO USIKU WA DENI

Фото профиля FREE NATION.
FREE NATION.1 год назад

Mtu ako jela ana furaha kuwaliko🤣🤣🤣

Фото профиля Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile1 год назад

Kwenye suala la Kurekebisha Mkapa, mmetia aibu sana, usijifiche kwenye hiki kichaka

Фото профиля Mr Honest 💸
Mr Honest 💸1 год назад

Yy mbona anaenda kusuruhisha DRC yanamhusu nn? kama anataka kuheshimika aache kuua watu, kuteka na kubambika watu kesi heshima sio kuvuruga na kujifanya mbabe mwambieni walikuepo leo wako wap?

Похожие видео