Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

12,052 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

8 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Kumbe Nywele wanazovaa dada zetu zinatoka kwa watu kabisa 😂🙆‍♂️ Mtoto kafuga nywele zake, zikirefuka anakatwa zinauzwa, then zinatengenezwa mawigi 🙆‍♂️ Mimi nilijua zinatengenezwa sijui kiwandani🙆‍♂️ Angali hapo namna wanavyonunua Nywele Video kwa Comments 👇

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Hizi zingine anakata za Mtu mzima 🙆‍♂️🙆‍♂️

Profilbild von Lion of Judah
Lion of Judahvor 1 Jahr

Mkataji nywele anaonekana keshapoteza ubingwa

Profilbild von Shaffy Esir
Shaffy Esirvor 1 Jahr

Huyo sio mwanaume tena vijana wanakula tu

Profilbild von Runya Draft
Runya Draftvor 1 Jahr

Tuanzie hapo kwa uncle T😂😂😂😂🫵🫵kinyeo kinauzima kwel

Profilbild von Coco love
Coco lovevor 1 Jahr

Ndio maana kila nikivaa usiku naweweseka🤣😂😆😄………..I’m kidding

Profilbild von DALALI WA MASHAMBA NA VIWANJA
DALALI WA MASHAMBA NA VIWANJAvor 1 Jahr

Huyu makataji kweli 🤣🤣🤣

Profilbild von maejor hazali
maejor hazalivor 1 Jahr

Huyu muonekano wake ni sio mwanaume bingwa

Ähnliche Videos

Tuko hapa wedding tunazikwenda 🔥😅
0:27

Sensitive content

Tuko hapa wedding tunazikwenda 🔥😅

Dr Branice Munyasa

104,401 Aufrufe • vor 1 Jahr