正在加载视频...

视频加载失败

14,324 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

12 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Sasa kweli ni hela gani inaweza kulipa uhai wa mtu jamani 🙆‍♂️🙆‍♂️ Yani mmekubali Sativa alitekwa, ila waliomteka hamjawakata.. Naomba nisiandike sana, nitaandika yasiyofaa.. Msikilizeni Jerry Muro alivyomjibu Gwajima🙆‍♂️ Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Karibu kwenye Channel ya Siri za mapenzi Tunazungumzia mahusiano ya kweli, siri za chumbani, ushauri wa mapenzi, na hekima ya maisha ya kimapenzi kwa namna nyepesi lakini yenye uzito. Mapenzi yana raha ukiyafahamu. Bonyeza Kujiunga

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Akaendelea...

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

- All I Knew

Nelvin Siriwa 的头像
Nelvin Siriwa1 年前

Katika mtu nilijua anaakili kumbe siye kwakweli umeenda kusoma au umeenda kuwa mpumbavu kweli muro we unatuaibisha wachag mjinga wew

ndushi daniel 的头像
ndushi daniel1 年前

Yani hoja hapo ni kutetea na kupata msaada wewe kama wewe, ivi wanadam wote tukoje au ni sisi tu black people. Hoja ya gwajiboy huyu ameelewa au anatuigizia tu upate uteuzi mwingine

~BINGWA⚡ 的头像
~BINGWA⚡1 年前

Sasa mbona anaongea huku anajikanyaga, haeleweki anatetea maslahi yake au anatetea haki na ukweli? Kama wewe umeshikwa mkono na ⌚💯 vipi kwa ambao hawajashikwa. Hapo hata kama umefaidika nae au hujafaidika nae, kinachohitajika ni kuongea ukweli na kusimamia haki

Castory Askofu mkombwe 的头像
Castory Askofu mkombwe1 年前

Kwahiyo Jerry kama Rais akikupa nafasi na baadae akakosea je huruhusuwi kumwambia kama anakosea? Unaangalia maslahi Yako na siyo ya Taifa kwa ujumla? SISI TUNAOFUATILIA PRESS YAKO NA YA GWAJIMA TUNAONA WEWE NDIO UNAJIVUA NGUO. UMEITA PRESS UKIWA HUNA POINT YA MSINGI, THAT'S SHAME

Shanyangi 的头像
Shanyangi1 年前

This time usimuamini mtu yoyote, hio miezi kila mtu ana lengo lake

“FREE” 的头像
“FREE”1 年前

Aendelee kulipa Rashida na shukrani. Huku kitaa tunajua

VLONE 的头像
VLONE1 年前

Chawa kama hawa ni wa kuwapaka makamasi na kufira mpaka kiyama

Sanga Athuman 的头像
Sanga Athuman1 年前

Wamezidi tuta waangamizaje hawa chawa

相关视频