Loading video...
Video Failed to Load
Tuko hapa...
12,052 views • 1 year ago •via X (Twitter)
8 Comments

Latto 𝕏1 year ago
Kumbe Nywele wanazovaa dada zetu zinatoka kwa watu kabisa 😂🙆♂️ Mtoto kafuga nywele zake, zikirefuka anakatwa zinauzwa, then zinatengenezwa mawigi 🙆♂️ Mimi nilijua zinatengenezwa sijui kiwandani🙆♂️ Angali hapo namna wanavyonunua Nywele Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏1 year ago
Hizi zingine anakata za Mtu mzima 🙆♂️🙆♂️

Lion of Judah1 year ago
Mkataji nywele anaonekana keshapoteza ubingwa

Shaffy Esir1 year ago
Huyo sio mwanaume tena vijana wanakula tu

Runya Draft1 year ago
Tuanzie hapo kwa uncle T😂😂😂😂🫵🫵kinyeo kinauzima kwel

Coco love1 year ago
Ndio maana kila nikivaa usiku naweweseka🤣😂😆😄………..I’m kidding

DALALI WA MASHAMBA NA VIWANJA1 year ago
Huyu makataji kweli 🤣🤣🤣

maejor hazali1 year ago
Huyu muonekano wake ni sio mwanaume bingwa
Related Videos
0:24
Sensitive content
5 hrs later tuko hapa,…. Actually ilifanyika jana 12 na kuna watu wako hapa 8 hrs… fvck whatever… 😭
Junkyard_diver
173,273 views • 1 year ago
