TUKUTANE TAREHE SABA
@mbunge_taifa2554.4K followers
29,563 views
18 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@UmeingiaTarime
Sabasaba
3 likes

@ironcurtain29g
Na hapo mshahara wao 50k kwa mwezi
1 like

@bellione_elijah
Mkuu huyo jamaa mbona anangolea huko mwambie aje huku...
1 like

@ududuuzovya
Hawa jamaa wachochez wao wako ulaya
1 like

@habibu_muhsin
Sina mwanasheria mm naupenda dagaa mchele

@Ahmed38160826
Na sisi wanachi ndio tuanataka kulindwa na amani iwepo sasa ajabu ni kipi unataka wakae majumbani mwao mpumbavu wahedi

@Ahmed38160826
Mpumbavu mmoja unaongelea ukiwa ughaibuni njoo huku alafu uropoke huo upuuzi wako

@Baradhuli2
kama seng

@Kampa_kampatena
Vijana mnaleta jeuri kutaka kushindana na serikali… mtatombwaa mpaka mfee kafilllll

@Michaeltz2023
NJOONI TAREHE 7 TUWANYONYE MIKUNDU

@habibu_muhsin
Rt mandondocha daaah

@Daiva_0903
Njoo tuandamanee wote kama ni raha

@salehe2770
Amani ya taifa letu italindwa kwa gharama zozote zile 🇹🇿

@PeterDafi
Bro POLISI hawana cha Kutia Huruma ni Majukumu yao hayo, na kama unaona wanatia Huruma Wewe Jichanganye kuvunja Sheria ili Uelewane nao na Ushuhudie Kutia kwao Huruma. Alafu Mbona NURU anaongelea Ulaya si Aje Bongo tuwe wote hapa.

@vedastusalcm
Umeambiwa kuna vurugu zitatokea,.

@jacksonekony
Kwani huyu polisi halipi kodi? Mnawalipaje kwani?

@Mrisho_K
Kwamba "tukutane tarehe 7" utakuwepo?

@dejame25252
Polisi wapo kazini kutimiza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao, na hao wanaharakati wa mitandao wanaowadanganya watoto wa watu kufanya uhuni kuelekea Saba Saba wanajidanganya sana. Tokeni huko mafichoni mje muongoze hayo maandamano mkiwa mstari wa mbele na nyie muandamane
