Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Tulia watesi wakunyooshe.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

66,275 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

10 Comments

Dr Calipso's profile picture
Dr Calipso2 years ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Huyu jamaa ana kipaji bonge la comedian ni kubaya niku baddest ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hilda Newton's profile picture
Hilda Newton2 years ago

Yes, halafu anasema ukweli.๐Ÿ˜‚

Wambura Jr's profile picture
Wambura Jr2 years ago

Ndio maana jana jion kulikuwa na foleni mjini kumbe watu wanaenda leo jioni Moshi๐Ÿ˜‚

Hilda Newton's profile picture
Hilda Newton2 years ago

Hawataki kukamuliwa pesa zao.๐Ÿ˜‚

utd.'s profile picture
utd.2 years ago

Jamaa anatoboa Siri za malegendary๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Jk_Laurent๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Jk_Laurent๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

Mkoa wetu unaenda kubaya mno , yaani kuna ombaomba wengiii mnoo kama dodoma vile . Ole wako wakuone umeng'aa pua yako kule watakuomba hela kama vile wewe ndiyo unazitengeneza hizo fedha.

Zwangendaba wa Majimoto's profile picture
Zwangendaba wa Majimoto2 years ago

Shemeji zangu bana wana mbwembwe sana

Hilda Newton's profile picture
Hilda Newton2 years ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sonko Kyara's profile picture
Sonko Kyara2 years ago

Mjin ni mipango.... Na mipango yenyewe ndo hii.... Kuonekana tena ni mpaka siku ya Pentekoste๐Ÿ˜€

Mzungu Mweusi's profile picture
Mzungu Mweusi2 years ago

@nulphin @richiefesto 26 / 27 shwaaaa tunarudi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Related Videos