Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Tulia watesi wakunyooshe.๐๐๐
66,275 Aufrufe โข vor 2 Jahren โขvia X (Twitter)
10 Kommentare

Dr Calipsovor 2 Jahren
๐๐ Huyu jamaa ana kipaji bonge la comedian ni kubaya niku baddest ๐๐

Hilda Newtonvor 2 Jahren
Yes, halafu anasema ukweli.๐

Wambura Jrvor 2 Jahren
Ndio maana jana jion kulikuwa na foleni mjini kumbe watu wanaenda leo jioni Moshi๐

Hilda Newtonvor 2 Jahren
Hawataki kukamuliwa pesa zao.๐

utd.vor 2 Jahren
Jamaa anatoboa Siri za malegendary๐๐๐

Jk_Laurent๐น๐ฟvor 2 Jahren
Mkoa wetu unaenda kubaya mno , yaani kuna ombaomba wengiii mnoo kama dodoma vile . Ole wako wakuone umeng'aa pua yako kule watakuomba hela kama vile wewe ndiyo unazitengeneza hizo fedha.

Zwangendaba wa Majimotovor 2 Jahren
Shemeji zangu bana wana mbwembwe sana

Hilda Newtonvor 2 Jahren
๐๐๐๐

Sonko Kyaravor 2 Jahren
Mjin ni mipango.... Na mipango yenyewe ndo hii.... Kuonekana tena ni mpaka siku ya Pentekoste๐

Mzungu Mweusivor 2 Jahren
@nulphin @richiefesto 26 / 27 shwaaaa tunarudi ๐๐
