Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
TULINDE MAADILI.
11,133 görüntüleme • 6 ay önce •via X (Twitter)
34 Yorum

Acha kuongea ujinga wako hukooo, watu wanajipambania wenyewe, unafanya kama ni hisani ya Samia! Samia ndo kawanunulia simu au laptop? Samia anawanunulia bando? Upumbavu wenu mnakwamisha kila kitu mtandaoni mpaka tunalazimika kutumia VPN. Ondoa ujinga wako hapa.

Mwambie mama.Abdul aandae wanasheria TUNAMFUNGA kwa kufanya mauaji October 29 HATUCHEKI na wauaji this time

WEWE UNALINDA TUMBO LAKO SIO MAADILI.KAMA NI KULINDA MAADILI ULIPASWA KUACHIA OFISI YA UMMA MARA MOJA MAANA HUNA HIZO SIFA.HUWEZI KULINDA MAADILI KWA KUWA MTU MUONGO MUONGO NA MNAFIKI KAMA WEWE

Kama nyie wenyewe hamna maadili kwa kukwapua pesa za umma unataka nani akulindie maadili?

Sisi "NGUCHIRO" ndo tulinde Maadili? Are you serious?

Maadili gani mliokuwa nayo? Mmejiweka hapo kwa kuuwa watu alafu mnasema maadili? Wanafki wakubwa..

Mfano wa ulindaji maadili unafaa kuanza kwa viongozi. Hatuwezi kuwa na viongozi wabadhirifu halafu tutegemee kuwa wananchi wenye maadili. Viongozi mnafaa kuwa taswira ya muwaongozao.

Maadili ya kuwaita waTanzania nguchiro?

Wewe na BASHITE mna maadili kweli kaka NGUCHIRO

Mna maadili gani? Kuteka watu, kuuwa na kupora madaraka? What the hell is that

Wewe ni adui wa Tanganyika tutakutupa kagera pamoja na samia uwe chakula cha mamba

Ingekuwa mimi ndio wewe walaah nisingepost chochote kwa kipindi hichi mpaka Upepo Mbaya upite. Labda unapost ili boss wako aone unapambana ili ukila genji ya uwanja asisanuke🥺

Waizi wanaongelea maadili. Funny.

Maadili yanaanza na viongozi kutokuwa mafisadi. Kama mmeshindwa kujiheshimu na mmekuwa wezi, waongo na wauaji nani alinde maadili ilhali nyie wenyewe ndio mabingwa wa kuharibu maadili

Maadili ni kuwa chawa na kusema uwongo uwongo kama wewe ?

Mna moral authority gani nyie ya kulinda maadili? 🚮🚮

Kazi kupuyanga tu . Nonsense kabisa

Sisi nguchiro tulinde maadili unautimam kweli ww

Kuwatukana watu nguchiro je ndio kulinda maadil?

Wezi, wahalifu na waliojipa madaraka baada ya kuua wananchi, wanatufundisha maadili! What a shame

..kuita watu nguchiro ni maadili!!!

Muulizeni nini kilitokea pale Ubungo Plaza na Mzee Warioba? Twende mbele turudi nyuma kusiliwe kwa kungwi tu na kwa mwali kuliwe.

MADILI

Wezi

Maadili lakini rushwa ni sawa?

Mnasuguliwa vinyeo.

Maadili ya mkund wqko kuma weww

Lakini amesema ukisikia watu wanapiga kelele kuhusu rushwa ujue hao hawapo jikoni maana yake hawajapata fursa ya kuiba,hili ni wazi kabisa inaonesha vita ya rushwa kwenu ni ngumu sana😅😅😅😅😅 Vipi huo ndio msimamo wa Serikali??

Uzuri wanaotangaza maadili hayo nayo hawana

Hayo maadili ukilinda wewe na Familia yako inatosha mweshimiwa. Tuheshimiane tafadhali.

Fuck u

Maadili gani mkuu

Makonda amesema nyie mpo jikoni

Mbona mmeshindwa kulinda ya kwenu?
