Loading video...
Video Failed to Load
Tumevuka 🦁 #WenyeNchi #NguvuMoja
48,282 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

Ujuguhapa1 year ago
Hii Mechi Ilikua lini ??

SIMBA SC NEWS 🚨1 year ago
Wengine waendelee kuhudhuria airport za ndege kwenda songwe 😂 This is Simba

krrishlex1 year ago
Spider for a reason

SIMBA SC NEWS 🚨1 year ago
Lion King always roarsbto defend his territory 📌 Tumeunguruma na tunawahikikishia tu kua hakuna muarabu atapona kwenye himaya yetu safari hii

krrishlex1 year ago
Wana Simba tujivunie kuona Simba inapeperusha Bendera ya Taifa🫡

MJUKUU WA TRUMP1 year ago
Hongera sana mtani, kila la kheri hatua zinazofwata. This is Tanzania 🇹🇿 This is Simba 🦁

krrishlex1 year ago
🦁

Abasi1 year ago
Wimbo wa Alikiba “Mnyama” ndo unatakiwa uwe wimbo rasmi wa Simba 🙌🙌

Abdul Mursaly1 year ago
TUMEVUKA NGUVU MOJA!!!

chuga girl❣️1 year ago
Admin mwambie mukwala siwezi kuishi bila jmn😥
