Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Tuna wakati mgumu sana.

95,816 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Northern Circuit Adventure (™)
Northern Circuit Adventure (™)3 лет назад

BLADIFAKENI

Фото профиля Hekimatupu
Hekimatupu3 лет назад

Kumbuka mumewe ni mkurugenzi wa Ewura jameni, hii kashfa ingemuumbua yeye na januari Makamba kwa chajuu wanachopata kutoka ktk makampuni ya uagizaji mafuta. Wako kimkakati hawa!

Фото профиля Doroth Smith
Doroth Smith3 лет назад

Kwani huyu tulia ni nani? Tukifunga saiku 3 kavu tukimpigia Mungu magoti kwa ajili yake. Mungu atamshindwa?

Фото профиля Joshua Martin Mutale
Joshua Martin Mutale3 лет назад

biblia haina mistari ya kumuombea mtu afe, laiti ungekuwepo hata mmoja ningeshinda na kukesha nikiusoma ili mungu atende

Фото профиля penjanite
penjanite3 лет назад

Hapa issue ni katiba mpya tu, watu wana mamlaka wanajikuta miungu

Фото профиля Mr. Joky wa Jock.
Mr. Joky wa Jock.3 лет назад

Tatizo ni kulinda maovu na hayupo kutoa changamoto kwa serikali Tuna bunge na spika wa hovyo sana

Фото профиля Mambo_Mengi.
Mambo_Mengi.3 лет назад

Mchango wa mtu uheshimiwe,naamini katika maelezo haya mwisho wa siku tusingekosa mawili matatu ju ya nini kinachoendelea kwenye hu mzozo wa fuel.Lakini kutokana na Bunge kuamua kuilinda serikali mambo ndo yanakuwa kama haya. My country people.hatuamki tuu?

Фото профиля Japhet Ibrahim (PhD)
Japhet Ibrahim (PhD)3 лет назад

Ivi hiki kipepo cha kike magu alikitoa wapi jaman?

Фото профиля Mwesiga Credius
Mwesiga Credius3 лет назад

Speak the truth and be shut down in any way!!

Фото профиля Game_Changer🇹🇿
Game_Changer🇹🇿3 лет назад

Duuuh yaan taarifa umepewa umeitupa chooni then unasema huna taarifa 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️ hii Tanzania hii litakuja kupigwa jitu lisiamini

Похожие видео