Tunachoshindwa ni nini?
@DaimuManafi5.2K followers
12,527 views
22 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@cag_wa_mtaa
Tushindwe kununua Bodaboda na Baiskeli tugawie raia tuanze kufanya mambo ya kijinga kama kujenga hizo njia nne.
4 likes

@CkrissBamanyisa
Rushwa, wizi, Siasa, na Ujinga vyote ndio sababu ya kutokuwa na maono kama hayo kila anayepewa nafasi ya maamuzi anawaza kuiba na kuneemesha familia yake sio Taifa angalia Ujinga unaofanyika pale Mbeya @tanroadshq @TaruraTz
3 likes

@adamprince48
Points ni zile zile Ukabaila Poor gorvement supports Lack of capital Ufisadi
3 likes

@barackmtulo
@MagoigaS Tuache kumfunga lissu tuwaze ujinga? 😂😂💔
2 likes

@4reiigner
Tatizo bongo watu wanapenda kukaa barabarani shughulu Za kiraia nyingi zipo Barbara kubwa
2 likes

@DaimuManafi
Achana na mambo ya kukaa barabarani, tunazungumzia highways zinazokwenda mikoani ziwe njia nne badala ya mbili. Ajali 80% zitaepukika Wewe unaonaje !!
6 likes

@Mwatexi
Hilo halitawezekana kamwe chini ya haya mafisadi
2 likes

@stanleysamwel22
Bongo mipasho mingi sana .
1 like

@israelmoses_
Tena sio kutanua tu, zimenyooka pia.
1 like

@Allypapala
Kwa Viongozi gn wenye Uthubutu! Labda tubadilishane Viongozi
1 like

@zicco_f
Oyaa anaongelea zambia gani uyooo bingwa??
1 like

@DaimuManafi
Yeye anakiri sisi tumewazidi Zambia kiuchumi ila wao wanajitahidi kuboresha barabara. Ukitaka kuamini, nitajie barabara moja ya njia nne inayotoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine Tanzania tuone?
2 likes

@zicco_f
Njia 4 yupo sawa nilzani anazingumzia zambia ina barabara nzuri ningemwambia apite kutoka nakonde mapaka kapiri mposhi
1 like

@ChademaTdm
@DaimuManafi Halafu ww mwanetu inaonekana unasimuliwa mwenzio kakuonyesha kwa ushahid ww unaongea kufikirisha Nakonde to Lusaka n km 1100 kama ckosei barabara mbovu n km 350 unapata wap nguvu ya kuuliza zambia ip
2 likes

@zicco_f
@DaimuManafi Labda mgeni ni zaidi ya izo km mzee wangu labda ulipita miaka ya 80 huko
1 like

@ProLearner77
Barabara ya kulipia
1 like

@DaimuManafi
😀😀

@EmmanuelNasa
Sasa mkuu Zambia Magari matatu foleni inatokea wapi

@HowIWish5
Ongea haraka haraka

@SixJohn20938
Tatizo ni 50%
