37 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Advocate_Jebra
Kifuatacho ITV ni “IGIZO”
21 likes


@DaimuManafi
😀😀

@democracy_watu
Sasa kwanini utuaminishe kuwa siyo mtu mzuri? Kwani uzuri wa mtu unaangaliwa kwa kutunza wanawake? Na kutelekeza wanawake vina uhusiano gani na uongozi? Yaani mvue chupi awatombe alafu mje kulalamika huku? Hapa @ccm_tanzania mmechemka wasenge nyie. Hii wala siyo shida zetu.
8 likes

@buchoti570
Sijui amelipwa shilingapi
7 likes

@DaimuManafi
Ndiyo maana amejifunika
2 likes

@tibaasili3
kweli Heche amewashika pabaya CCM😂😂😂sema anayeandaaga hz script bila shaka ana elimu mbalimbali yaan uwe umetelekezwa na una malalamiko na uko tayari kuachia video na picha za mtuhumiwa na ukijua utapata support kubwa kwa ccm na serikal af ufiche sura😂😂🙌🏿🙌🏿
5 likes

@King_davd_ii
Ujinga ni mzigo
5 likes

@King_davd_ii
Hili lilibuma siku nyingi sana
5 likes

@ErNyoni
Yaani wamekusanyika pale Lumumba na kuamua kuja na huu upuuzi.
4 likes

@democracy_watu
Kaani shida ni nini? Kutelekeza mwanamke ni kosa? Angekuwa katelekeza mtoto bado na penyewe tungeulizia uhalali wa mtoto. Ila kutelekeza mwanamke ina shida gani?
4 likes

@GreatNorthUSK
Ujinga wako unatueleza tukusaidieje
4 likes

@DaimuManafi
Analia shida halafu anachamba hapo hapo 😀
2 likes

@zania_mtan
Huyu mpuuzi kalipwa na nani aje kumchafua heche? Tutadeal na ww pumbavu unadanganya umma
2 likes

@MwalimAkidic
Mmemfanyia haya shekh walid mnakuja kutaka kumfanyia haya HECHE WAJINGA NYIE SHENZI ZENU
2 likes

@Ujanamamboleoo
Daah hii michezo wataacha lini kuchafua watu.
2 likes

@am_gudie
Hili taifa linaongozwa na watu wapumbavu sana sasa mambo gani hayo
2 likes

@ibambas007jm
Hajui hata kuivaa hyo nikabu sijui🤣🤣
2 likes

@jtalb8
Ajifunue Tumuone
2 likes

@gondwecj
Ulikuwa wapi siku zote acha upuuzi hatusomeshi wachumba
2 likes















