正在加载视频...
视频加载失败
Tunakuja mtaani....
21,843 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Latto 𝕏1 年前
Wanafkiri ni Rahisi Kupokonya kazi za wazee 😂😂😂😂😂 Ngoja waingie Mtaani... Video kwa Comments👇

MCHIZI'MADIRISHA1 年前
Life linasema kimoyomoyo "Niachieni Hawa"

Chakatu Ally1 年前
Tuwaambie au tuwaache😃

Tag Ubavu1 年前
Tungewaambia ukweli tatizo watatangaza tuwaache tu.....

Sule Tz🇹🇿1 年前
Labda office za kubet😁

niovivi1 年前
Karibuni na morali zenu za kumaliza, tumejaaa huku mtatukuta😃😃😃🏃🏃

Maker1 年前
Tuwaambie au tuwaache kwanza?? 😄

Fredy Lukumay1 年前
Naomba tuwaache

Jackson Mkwashapi1 年前
Sisi ambao hatujakalia toka 2014 tuwaachie wakalie nini😂😂

Shabani Kibwana1 年前
Dalali nani unaitwa

Jerry Kimenye1 年前
Wanawaza kufisadi tu hakuna hata mmoja anafikiria kuwatumikia wananchi.
