Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Tundu Lissu Mahakamani

50,872 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Komatsu G profil fotoğrafı
Komatsu G1 yıl önce

Nchi inasheria mbovu sana hii yaani mtu anakutuhumu kwa makosa ambayo ushahidi hana unawekwa gerezani kabla ya kuhukumiwa Kisha kesi inaahilishwa mara kwa mara na mwisho DPP anaondowa kesi au anashindwa kuleta ushahidi huo muda nani anamlipa mwathilika no reforms no election

CHAABA DUNDUKWE profil fotoğrafı
CHAABA DUNDUKWE1 yıl önce

Kazi wanayo hao akina KITUGA,, LISUU ni mwamba kweli kweli kwenye sheria WAJIPANGE la sivyo watakimbiaa

Gollan Dindai profil fotoğrafı
Gollan Dindai1 yıl önce

Hawa mawakili wa serikali, kwa kubabaika huko jalada la uchunguzi halipo kwa Dpp bado wanalo wao! Ndiyo maana wanachenga kutoa kauli iliyonyooka.

Mac B May profil fotoğrafı
Mac B May1 yıl önce

Ukiwa wakili wa serikali na mshitajiwa ni Lissu, na anajiwakilisha mwenyewe, ujue kazini kwako kuna kazi. Naona jamaa wanaitika kila wakati hata wakiwa hawajaitwa😂😂😂😂

SarakikyaJr profil fotoğrafı
SarakikyaJr1 yıl önce

Imegine hapo ndo tupo kwenye Mahakama za kimataifa, Dah sijui

Laigwanani profil fotoğrafı
Laigwanani1 yıl önce

Ila kujua sheria raha Sana duh

Epamarts profil fotoğrafı
Epamarts1 yıl önce

Hawa mawakili wa serikali kwel wanaweza kushinda lissu ?? 😂😂😂😂

Just Talk Jr profil fotoğrafı
Just Talk Jr1 yıl önce

Leo shule inatembezwa ndani ya mahakama 😂😂😂😂😂😂😂

s1 little b profil fotoğrafı
s1 little b1 yıl önce

Lisu anakupga spana na anakuelekeza jinsi ambavyo anatakiwa ashitakiwe

Mjamaica OG profil fotoğrafı
Mjamaica OG1 yıl önce

Lissu ni moto asee🔥🔥🔥🙌

Benzer Videolar