Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Twitter mafundi hii ikoje? 😃
63,362 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

29vor 1 Jahr
Ilipitia uku sku si nying saaana nliiona iko juu juu mno nkaiacha 🙃

Adventure-360vor 1 Jahr
Aisee

𝐌𝐑 𝐈𝐑𝐈𝐙𝐀𝐑 𝐈𝟔𝐒.vor 1 Jahr
Kaongeza suspension hii hilix surf kwa alichofanya yeye kaona ni sawa ila ukweli ni kwamba hii haikimbii hata speed 160 au kona kali ilale na speed 100 itaishaa gari haina balance.

southernvor 1 Jahr
Niliona mbalizi

Paul NovemY 𝕏vor 1 Jahr
Hii Gari Ya Mbeya

Adventure-360vor 1 Jahr
Aaah

Simonedson manjo@ Simon edsonvor 1 Jahr
Mbeya wajuaji ni weng sanaaaa

Adventure-360vor 1 Jahr
Aaah

North zone🇱🇷vor 1 Jahr
Chuma hii apa 4x4 chuma wana cheza na mfumo wa mneso wheel system na inatiwa air suspension hizi chuma haziko special kwa mbio ni kwa kupiga game Drive tour za milimani kwenye tope i wish one day nafungu garage ya ku upgrade hizi chuma dream yangu one day yes

son of kiharavor 1 Jahr
Hii gari niliiona mbeya 😂😂

Adventure-360vor 1 Jahr
Aaah
