Loading video...
Video Failed to Load
Twitter mafundi hii ikoje? ๐
63,362 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

291 year ago
Ilipitia uku sku si nying saaana nliiona iko juu juu mno nkaiacha ๐

Adventure-3601 year ago
Aisee

๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐.1 year ago
Kaongeza suspension hii hilix surf kwa alichofanya yeye kaona ni sawa ila ukweli ni kwamba hii haikimbii hata speed 160 au kona kali ilale na speed 100 itaishaa gari haina balance.

southern1 year ago
Niliona mbalizi

Paul NovemY ๐1 year ago
Hii Gari Ya Mbeya

Adventure-3601 year ago
Aaah

Simonedson manjo@ Simon edson1 year ago
Mbeya wajuaji ni weng sanaaaa

Adventure-3601 year ago
Aaah

North zone๐ฑ๐ท1 year ago
Chuma hii apa 4x4 chuma wana cheza na mfumo wa mneso wheel system na inatiwa air suspension hizi chuma haziko special kwa mbio ni kwa kupiga game Drive tour za milimani kwenye tope i wish one day nafungu garage ya ku upgrade hizi chuma dream yangu one day yes

son of kihara1 year ago
Hii gari niliiona mbeya ๐๐

Adventure-3601 year ago
Aaah
