Uchawa nao kipaji.
136,177 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

MARTIN MARTIAL1 年前
Hapa dini isihusishwe aisee,ni upumbavu wa mtu mwenyewe,huu ni ujinga.

Jangili La Kimataifa1 年前
hao wanyuma yake wangejua anaongea nini wangemtupa

ЄƦƇƲƦƦƳ1 年前
Anaongea pumba

mwimbih1 年前
alafu mbona yupo juu kuliko wenzie asije akawa amemkanya mtu mabegani

ЄƦƇƲƦƦƳ1 年前
😂

GabbY1 年前
Huyu jamaa naona kama anakoelea anakuwa chizi zaidi ya mwanzo

ЄƦƇƲƦƦƳ1 年前
😂

Swahili Troll1 年前
Hakuna ibada hapo ni show off tu, haya sio katika mafundisho ya uislam.

ЄƦƇƲƦƦƳ1 年前
Maisha ya ajabu haya

Nkwabi1 年前
Sasa si bora hata wanao abudu masanamu !!! 😅😅

ЄƦƇƲƦƦƳ1 年前
😂 Oya jomba
