正在加载视频...

视频加载失败

Dini ni hatari kuliko shetani - Gwajima

21,256 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Itchy_Onion 的头像
Itchy_Onion1 年前

@EsirEid hata saa mbovu Kuna nyakati husema ukweli. Msikilize sasa huyu.. Achana na kitu inaitwa dini. Waafrika tutaendelea kufanywa wapumbavu mpaka lini?

Hashmïus ♊ 的头像
Hashmïus ♊1 年前

Mmh....labda dini nyengine lakini Islam, it is the right way

Bongozozo!!! 的头像
Bongozozo!!!1 年前

Wakristo bhana...hahahahaha!!!......Yani kosa nikutokua na andiko linalosema ukristo ni dini...........

公式:ちぃたん☆九州 的头像
公式:ちぃたん☆九州1 年前

Chiitan is the main character in Joker Part 2.

B R U I N 的头像
B R U I N1 年前

Adui yupo ili kuiba, kuharibu na kuchinja. Yn 10:10 Advocate wa upotevu wote duniani ni SHETANI. Biblia inamuita Mkuu wa Ulimwengu huu. Muuni robo tatu ya Mbinguni Ataipotosha. Hakuna kilicho au Aliye hatari zaidi ya SHETANI mwenyewe. Sijui Biblia gani jamaa anatumia?!

Majiyandimu 的头像
Majiyandimu1 年前

Kuanzia sasa Ukisikia wanasema Dini hakuna Dini Means wanakataa Uislam. Alhamdulillah tumelijuwa hili. Dini = Uislam.

jobless 的头像
jobless1 年前

fact

Bavoka 的头像
Bavoka1 年前

Madini.madini

GUZZLE 的头像
GUZZLE1 年前

Nimpe dada yangu huyu baba

Petertz 的头像
Petertz1 年前

🙌

Luq Pro 的头像
Luq Pro1 年前

Wewe kichaa @fumbokhanJr sikiliza hapa.

相关视频