Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Udugu Umala - Maana yake ni ?
34,323 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

vituvingi1 год назад
Kwahiyo makolo waliingiwa na kololo la moyo,kweli udugu umala

Justine Peterson 👨🏽💻1 год назад
😂😂😂🙌🏽 @Iam_mbarouck pitia hapa uone mangungumbalo yaliyowapata wanasimba

usikuwavitasa1 год назад
Langu jina ni Joram Nkumbi mpaka wakati mwingine nayeyuka huku nikiweweseka kiwenda wazimu🤣🤣🤣

Bateleur Safaris and Tours Ltd1 год назад
Kiswahili lugha yetu, ni tamu sana 😇

Al'faqeer (عبدالرحمن المرزوقي)1 год назад
We mzee mbona mgomvi sana 😂😂

Al'faqeer (عبدالرحمن المرزوقي)1 год назад
Watani waliweweseka kiwenda wazimu hhhhh ungeimalizia hapo bana 😀😀

Kidee1 год назад
Jamaa waliingiwa na daghadagha mpaka hii leo, hawawezi kukaa sawa tena niamini mimi.

Pam Belinda 🥇1 год назад
😂 we mtani mbona una kimuyemuye hivi..? Pamoja na yote hayo.. UBAYA UBWELA..

Earth 🖖💥1 год назад
Mlumbi unataka kukanyaga pabaya

border wise1 год назад
Naweza kujifunza kiswahili kutoka kwako?
