Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ufunguzi wa Msikiti Masjid Tawheed Coco Beach.
10 Yorum

R1 yıl önce
Tukipata wenye hofu ya Mungu kma hv 100 nchi itakaa vzuri

Jalilu Zaid1 yıl önce
Wapo wengi mbona

Francis Kigenda, PhD1 yıl önce
Huyu polisi hawezi kuwa miongoni mwa wauaji na wanaotesa watu, huyu polisi hofu ya Mungu ni kipaumbele kuliko hata kazi yake. Mwenyezi Mungu amsaidie duniani na ampe mbingu ya dhahabu❤

Khaled Emms Ponera 🇹🇿🇿🇦1 yıl önce
Mashallah Msikiti mzuri Nasubiri na ule wa Oysterbay pale pembeni ya Ubalozi wa Kenya 🇰🇪 mzuri mno

Eloquence1 yıl önce
Hata abdillah bin suluul alijenga msikiti isipokuwa Mtume hakwenda ufunguzi wake wala hakuwahi kuswalia humo na wala hakukomenti lolote hadi anaondoka

Babangida1 yıl önce
Mashallah kumbe Polisi wacha Mungu wapo !!

𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 1 yıl önce
Si ungenipitia

Jalilu Zaid1 yıl önce
Nilienda Kariakoo kwanza

Rahuuuum1 yıl önce
MashaAllah MashaAllah

Montezuma1 yıl önce
Kwani baraghashia siyo muhimu?
