Ukimuoa Debora baaasiii 😂
@selemasaki59.121 Follower
34.298 Aufrufe
11 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@BabuKristo
Shida ni mama kutoa alafu kutoa kwa bintie, na hadharani,wasukuma msije sema hamkusikia ni vya debora
9 Likes

@SolarHeavy
- Promises
12.553 Likes

@EmanuelNicodem
Huyu jamaa kaolewa hapa dadeki
5 Likes

@AnthonyM78417
Oya labda na wewe mwanaume uwe na financial muscles, uwe na michongo yako, la sivyo utadharsulika sana. Umeona hata MC alivyomwita, sio kwa adabu sio kwa heshima.
4 Likes

@MbaoKijoko
Sasa utajua hapo kama janja kaolewa au kaoa
3 Likes

@danny_lema
Alafu dogoo tuu kisomoo kizuriii
2 Likes

@MnkeniFrancis
Haahaa hatoamini atakachokutana nacho
2 Likes

@king_elikana
ukute debora ananuka kikwapa au qma haipo lipo tobo tu inatumika njia mbadala ili asikose mume🤣🤣🤣🤣
2 Likes

@elalemes
Nope, hii si send-off, vya Deborah sio vya kwake 🤣
1 Like

@DicksonLyimo6
Jamaa kasomaga udsm
1 Like

@Xellector1
Kmmmk debora baada miaka miwili n mshangazi tishio kwa vijana🤣🤣
1 Like
