正在加载视频...
视频加载失败
Ukimya umetawala
100,924 次观看 • 10 个月前 •via X (Twitter)
27 条评论

Ni mimi ndugu yenu Master Tindwa siko nanyi kimwili Naomba mshahara wangu wamwisho wakapewe familia yangu Nimefanya kazi na nyie lakini mnashindwa hata kuiheshimu maiti yangu, namna kifo changu kilivyotokea Unaweza usiongee kuhusu siasa Lakini siasa inaweza kuamua uhai

hii code nimeilewa yan waandishi wa habar hawana uhuru wa kuiongelea serikali

Ujumbe huu unaonyesha wazi Kuwa hata Media Hawana Uhuru tena wakuhoji maswala ya Nchi,habari kama hii yenye manufaa Media zinaamua kunyamaza na sio kwa kupenda hapana.

Kuna siku litachomwa jengo lenu endeleni na tabia zenu.

🤣🤣🤣🤣tuko na jeshi imara sana 😂😂😂

ngoja waje wawafungie kwa kukimbia maswali 😅

Message send Media haina mdomo

Message sent. Of course we understand you.

Tumewatupia sana lawama wanahabari wetu bila kuangalia pia kwa upande wao changamoto wanazozipitia Thank you clouds for making a vivid clarification on how hostile the situation really is out there. May God fight for you all

ujumbe umefika dikiteta ni mfumo unaotengenezwa na vyombo vya usalama, na kumlazimisha mtu aonekane katili na dikiteta, nimeona namna wanaume wanavyokimbia hola wakiogopa kumgusa mwanamke ambae Kwa utamaduni wa waafrika Huwa hawawaogopi wanawake

😄😄😄ujumbe unafika

Hii ni content,and this reflects how our medias are 💔

Jamaa wanafik sana kuna namna mnafikisha ujumbe

😂😂😂😂

.

Isiwe tabu 🤣🤣🤣

Revenge za master tindwa au 😶

ههههه 😄

😁😁😁

Wamefikisha ujumbe

Nimecheka sana aisee

Dah😁

Achukuliwe hatua zakisheria

TCRA wanakuja 😂

Ujumbe umefika, poleni sana kwa kufungwa midomo.

these skits are not even satirical. A true depiction ya mambo na unyonge wa Clouds media. just sad

Kama nyie mnaogopa na mnauzoefu wa kazi zenu je nyie
