Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Ukiwa mwongo, uwe na kumbukumbu😎.

10,541 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

theophilmlungwa profil fotoğrafı
theophilmlungwa1 yıl önce

Odomba umeongeza Ubunifu katika Kipindi Chako, hiyo ya kuandaa clip ya alichokiongea umepiga mshono bro. Kongole kwako.Hofu yangu watakukimbia katika Kipindi.Navuta picha ya Nyape Mnyauko alipojigamba goal la mkono akija hapo ataishiwa pumzi.Big Up

DENISMSAGE@GMAIL.COM profil fotoğrafı
[email protected]1 yıl önce

Tapeli wa kisiasa,mnufaika wa mfumo,hapo anapozungumza mke wake ni kati ya wale covid 19,unategemea angemuelewa Lisu.

Daniel Samson profil fotoğrafı
Daniel Samson1 yıl önce

Kaka One,Mimi nimesikiliza mwanzo mwisho Tokea kipindi kinaanza...tumewasikia TEC,KKT, SHEIKH PONDA,BUNGE LA ULAYA NA MADHEHEBU ,DINI ZINGINE. PAMOJA NA VIONGOZI WETU WASTAAFU WARIOBA,BUTIKU nk. Swali langu what if chama tawala kikakaza FUVU.? I mean kustokee reforms.

FANCO profil fotoğrafı
FANCO2 yıl önce

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

sylvester bernard profil fotoğrafı
sylvester bernard1 yıl önce

Useless man

Donny Charles 🆇 profil fotoğrafı
Donny Charles 🆇1 yıl önce

The Look of Shame on his face😂

Gwandumi Gwakyala profil fotoğrafı
Gwandumi Gwakyala1 yıl önce

Nadhani nia ya hawa jamaa walitaka waongezewe dau lkn sasa wakaingia wenye vichwa vibovu haha wakafanya kweli. Shida kubwa inayoikumba taifa letu ni unafiki na maslahi binafsi,awamu ya Dr. Magufuli hakuna aliyesimama na kusema nchi imefungwa leo utasikia Rais Samia kafungua nchi

SPOTTED HYENAS🦊 profil fotoğrafı
SPOTTED HYENAS🦊1 yıl önce

Nikionaga hii clip huwa nacheka sana 😂😂😂😂

freakshow profil fotoğrafı
freakshow1 yıl önce

Asali tamu wewe, hiyo confidence ni kama imehama upande ndani ya sekunde 40

Christopher Bukombe profil fotoğrafı
Christopher Bukombe1 yıl önce

Cheki alivyokodoa macho kama vile amebanwa na haja ndogo

Michael Bante profil fotoğrafı
Michael Bante1 yıl önce

Nilidhani wahuni ni vijana kumbe kuna hata wazee wahuni.🤣

Benzer Videolar